Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio...