una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  2. JamiiForums Tanzania Utajuaje una majini mahaba?

    DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA. 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti. 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama. 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto. 4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba. 5. Kuwa na hasira za haraka. 6. Kukwama kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract. Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
  5. JamiiForums Tanzania Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  6. JamiiForums Tanzania Ni mwana JF yupi ungependa ku-debate naye na una uhakika utampiga chini?

  7. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

    Watanzania wengi tunamiliki zaidi ya laini moja ya simu. Tuambie ukweli una laini ngapi za simu?
  8. JamiiForums Tanzania Ukiajiri ndugu zako kwenye biashara zako una 95% za kufail

    Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa sana za yeye kwenda kuharibu. Bora uajiri mtu usiemjua kuliko ndugu yako, Ndugu zetu tunawapenda...
  9. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  10. JamiiForums Tanzania Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

    Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa. Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia. Hii ilikuwa mwaka 2021
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukisajili Kampuni Hakikisha Una file beneficial ownership haraka

    Habari mjasiriamali, najua pengine hujawahi kusikia kuhusu beneficial ownership. Kwa kifupi Beneficial Ownership ni taarifa za umiliki wa Kampuni ambazo zinaonesha nani haswa ni mnufaika Kampuni hata kama hayupo kwenye list ya shareholders. Mfano, mtoto wako anaweza asiwepo kwenye list ya...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  14. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

  18. JamiiForums Tanzania Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

  20. JamiiForums Tanzania Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…