umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa Saido Ntibazonkiza ni upi?

    Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984.. Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987.. Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kadri umri unavosogea napoteza uwezo wa kusikia kinachoendelea around napokuwa usingizini

    WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa nimelala/kusinzia. Uwezo huu ulikuwa mkubwa kipindi nipo chuo yani kuna siku washkaji hawakuanini nilikuwa...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 40

    Huu ndio umri wa watu wengi wa lala salama katika mahusiano ya kufa na kuzikana. Kama umefikisha huo umri,na mahusiano yako hayaeleweki eleweki, chukua hatua mapema. Kama ni mwanamke, na una kipato na hujapata mtu wa kueleweka, tafuta mwanaume yeyote choka mbaya ambaye atakuheshimisha na...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi adaiwa kumuua mwenzake wakibishania umri

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili (miaka 17) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake, John Lema (18) chanzo kikielezwa kuwa, mabishano ya umri. Mwanafunzi huyo mkazi wa Mtaa wa Kalimani, Wilaya ya Moshi inadaiwa yeye na Lema walikuwa marafiki na siku ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umri unaofaa kwa Rais wa Tanzania 2025 ni upi kati ya yafuatayo?

    Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya: 1. 18 hadi 25 2. 26 hadi 35 3. 36 hadi 55 au 4. 56 hadi 75? Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi kwa kuwa na nguvu ya kutosha, kumbukumbu na fikra mpya katika ujenzi wa Nchi. Tujibu bila ushabiki...
  8. Mchunguzi Fukara

    JamiiForums Tanzania Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

    Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
  9. luambo makiadi

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri...
  10. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  11. G

    JamiiForums Tanzania kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

    Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui. Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania KWELI Momčilo Gavrić ndiye mtu mwenye umri mdogo kupigana vita ya kwanza ya dunia WWI

    Katika pita pita yangu ndani ya maktaba moja kubwa hapa nchini nimekutana na jina la huyu mtoto, Momčilo Gavrić na taarifa kuwa ndiye mtoto au mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia vitani mpaka sasa, huku vita ya kwanza ya dunia WWI iliyoanza Julai 28, 1914 na kutamatika mwezi Novemba 11...
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

    Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
  15. Shaas

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

    Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Sukari unachotakiwa kutumia kwa Siku kulingana na Umri

    Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia Sukari kabisa Watoto wenye miaka 2 hadi 17 hawatakiwi kuzidi Vijiko 6 Vidogo vya Sukari kwa siku...
  17. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya. Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio...
  18. proton pump

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ikifika Derby ya October, wazee wa Yanga watakuwa wamesogeza umri kwa miezi miwili

    Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida. Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na...
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania Refresh kidogo na old skul ukifikiria jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi

    Greetings wanajukwaa. Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9 4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID...
Back
Top Bottom