umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

    Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochote. Wanaume wengi wenye changamoto hii huishia kujificha kwenye kutumia mdomo kulamba au kunyonya uke wa mwanamke kuficha fedheha hiyo. Na...
  2. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulivyojua kuwa kirefu cha MOM ni My Own Mother

    Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  5. JamiiForums Tanzania Ebu bashiri umri wa members humu JF

    Mshana Jr 46 cocastic 31 Binti wa zamani 40 Hannah 35 Kiranga 37 secretarybird 31 ELI COHEN 34 ERoni 36 hamis77 35 FaizaFoxy 48 ephen_ 36 dosho12 30 Vincenzo Jr 31 Maxence Melo 48 Chica Gee 27 Dr am 4 real PhD 42 Mallerina 28
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo katika kila group la umri mwafrika anayo chambua sababu za tabu zake

    18 - 21= baba na mama 22 - 25= shetani 26 - 30= uchawi na mikosi 30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc) 35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
  7. H

    JamiiForums Tanzania Utofauti mkubwa wa umri na dini

    Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa. kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  9. JamiiForums Tanzania Jennifer Lopez's umri wake sasa 56 ila unaweza kusema wa miaka 30.

  10. N

    JamiiForums Tanzania List ya wanasiasa waliofanikiwa Tanzania wenye umri baada ya miaka 50?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi

    Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu. Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye. Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Mpishano wa ki umri

    Miaka 7, 8 , 10 . Gape Si ni sawa kuoa😀 Kuna binti hapa nimedata nae
  14. JamiiForums Tanzania Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  15. JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bunge la Djibouti lapiga Kura kuondoa kizingiti cha Umri wa Urais

    Bunge la Djibouti limepiga kura kwa kauli moja kuondoa kizuizi cha umri wa kugombea urais, hatua inayomruhusu Rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita madarakani Guelleh, anayejulikana pia kama IOG, amekuwa madarakani tangu mwaka 1999 akiongoza taifa hilo dogo lililoko Pembe ya Afrika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

    Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k Sifa zangu. Najishughulisha Mpole Siyo muongeaji sana Mkweli na muwazi Kimo cha kawaida Rangi maji ya kunde Mwili wa kawaida Sifa za rafiki...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

    Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto, Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ? Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
  19. JamiiForums Tanzania Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono

    1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi 2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani 3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe 4. Muziki unaoupenda unausikia ukiwa kwenye lifti ama kwenye gari lako ukienda na kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…