TAARIFA KWA UMMA.
Dar Es Saalam.
Chama cha Mapinduzi kinachukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan juu ya nyongeza ya mshahara alilolitoa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani...