umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu. Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue...
  2. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  3. Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  4. Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha...
  5. K

    Serikali yakamilisha utaratibu kurudisha umiliki wa mali/taasisi zilizokuwa za umma ikiwemo Hospital ya Dar Group

    Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
  6. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

    Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya. Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti. Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
  7. Q

    CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  8. Watumishi wa Umma: Sehemu Sahihi ya Kupeleka Malalamiko Ukifutwa Kazi

    Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate Candidate) MATERIAL FACTS (STORI YA KESI): -Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
  9. Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
  10. Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano! Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili...
  11. Rais Samia umeupiga mwingi kwenye Utumishi wa Umma, ila kuna moja linaloumiza utumishi wa umma umeliacha

    Rais wetu umejitahidi kufuta maumivu ya watumishi Wa umma wa nchi hii pamoja na makundi mengineyo yaliyokuwa yameathirika na utawala wa JPM. Hakika katika utawala Wa mwendazake wananchi wameona rangi mbalimbali Magufuri aliweka utaratibu mbaya Wa upandaji Wa madaraja ya mishahara pamoja na...
  12. Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe, mafisadi na wabadhilifu wa mali za Umma

    Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika...
  13. Kesho yenye uwajibikaji inahitaji Citizen journalism (Uandishi wa Umma)

    Tasnia ya Habari imeonekana kama moja ya muhimili wa serikali hata hivyo tasnia ya habari imeonekana kupoteza uwezo wake wa kuibua mambo na kuleta uwajibikaji kwa mihimili mingine ya serikali. Waandishi huripoti matukio na press hali inayofanya stori ziwe hazina maajabu ya kutosha kwenye...
  14. The state: Hakikisheni kwenye Katiba Mpya, mishahara na posho za kwenye siasa zinapunguzwa Sana na kuelekezwa kwenye miradi ya umma

    Wakuu Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini. Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi! maprofesa wa...
  15. Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Perdiem. Tsh 250k , 220k,170k,150k kwa Jiji 200k,180k,150,130k kwa Manispaa 130k,120k,100k, 80k kwa Halmashauri Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva. Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41] Wastaafu kulamba 33%...
  16. N

    Kama ndio kikokotoo ni 33% Nawashauri watumishi endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu

    Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa, Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs? Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye...
  17. Kwa namna ilivyo ni bora katiba itafasiriwe kwa umakini ili kulinda maslahi ya umma

    Kwa mujibu wa ibara ya 67(1)(b) mbunge awe na sifa kamili za kuwa mbunge ni lazima aidhiniswhe na chama chake kugombea ubunge. Mdee na wenzake 18 ni dhahiri na wazi kabisa hawana sifa hiyo. Ibara ya 107A ya katiba ya JMT inatamka wazi kabisa kuwa mahakama ndio chombo pekee kilicho na mamlaka...
  18. D

    Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

    Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa; Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa! Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
  19. Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
  20. M

    Wakumbukeni Wastaafu wa umma pia. Ongezeni Pensheni zao

    Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki. Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…