umma

Umma (Sumerian: ๐’„‘๐’†ต๐’†  ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
  2. JamiiForums Tanzania Jerry Muro tulikuambia ubadhirifu wa miradi ya umma Ikungi utakuondoa, pole sana

    Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua wanatafuna pesa za umma alijifanya mkali akidai anachafuliwa kisiasa. Sasa ajifunze. Twende hatua kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Epuka Matumizi yasiyo ya lazima ya Wi-Fi za Umma

    Mitandao mingi ya Umma ya Wi-Fi huwa na usalama mdogo kiasi cha kufanya watu wengine wanaotumia mtandao huo kuwa na uwezo wa kufikia Shughuli na Taarifa zako Binafsi kwa urahisi. Wi-Fi huweka wazi anuani yako ya Kimtandao, Sehemu uliyopo pamoja na Mambo unayofanya ukiwa Mtandaoni. Unashauriwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kigogo wa SMZ asema Watumishi wa umma kuanzisha mijadala ya kukebehi, kudharau mwelekeo wa Serikali ni kosa

    AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Thabit Othman Abdalla, amewataka watumishi wa umma kisiwani Pemba, kutoungana na watu wengine, katika kukebehi na kudharau mipangano, sera na mikakati ya serikali, kwani kufanya hivyo ni ukiukwaji wa maadili...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje sekta moja ya umma kukataa taarifa za kiupelelezi za sekta nyingine ya umma?

    Hili lipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya taasisi zetu za umma yakiwepo mawizara mbalimbali ikiwepo Ardhi na nyinginezo Unaweza kuwa na tatizo labda mfano, suala la ardhi kutapeliwa ukafuatilia suala hilo mpaka ukalipeleka katika vyombo vya umma vya upelelezi navyo vikafanya kazi yake vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Sierra Leonne yapitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kuajiri wanawake kwa % 30

    Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia katika jamii inayopendelea wanaume. Rais Julius Maada Bio alisaini mswada huo kuwa sheria...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. ๐Ÿ‘‡
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu vya Umma Tanzania viko hoi kifedha, skuli, ndaki, Idara hata Karatasi shida

    Habari! Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

    Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru. Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote. Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
  12. JamiiForums Tanzania TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

    Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022. Tunaomba hii miradi iliyosajiliwa Kwa kipindi hicho TIC iweke kwenye websiteโ€™s ya TIC Ili watanzania waione na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  14. JamiiForums Tanzania Vibali vya kurejea utumishi wa umma

    Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu kwenye hili la kuudanganya umma ni lazima uwajibike

    Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Upigaji na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi kulikokithiri kwa Sasa, nini kifanyike?

    Habari JF. Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6. Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali. Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali. Uporaji upo ilihali Rais yupo...
  18. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ