umiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    ANZA NA KIANZIO CHA 30% ILI UMILIKI APARTMENTS ZETU.

    Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya mwalimu nyerere mikocheni. Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks Mradi huu una aina 3 za apartments 1,2&3...
  2. ELI COHEN

    Trump ameahidi kila mwananchi aishie greenland bilioni 2.5 ili wakubali kuachia eneo hilo kuwa chini ya umiliki wa Marekani

    Greenland ina wananchi 57,000.
  3. Isaack Newton

    Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    Hqbari wakuu. Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze. Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  5. Harvey Specter

    Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  6. M

    Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

    Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
  7. C

    Naomba ufafanuzi juu ya umiliki wa hii ardhi

    Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
  8. Harvey Specter

    Je Usawa wa Kijinsia katika Umiliki Ardhi za Urithi na Ulipaji wa Fidia kabla ya Utwaaji wa Ardhi vitapatiwa utatuzi wa kudumu? SERA YA TAIFA YA ARDHI

    Tarehe 17 Machi, 2025, Rais Samia alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) Sera hiyo inalenga kutoa mwongozo wa jumla kuhusu utawala na usimamizi wa ardhi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa, mipango ya maendeleo ya Taifa na mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi na...
  9. Ojuolegbha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
  10. Consultant_Silwano

    VIAMBATA VINAVYOTAKIWA KATIKAKUHAMISHA UMILIKI WA CHOMBO CHA MOTO

    1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji. 3.Kiapo cha Umiliki. 4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya...
  11. Consultant_Silwano

    VIAMBATA VINAVYOTAKIWA KATIKAKUHAMISHA UMILIKI WA CHOMBO CHA MOTO

    1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji. 3.Kiapo cha Umiliki. 4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya...
  12. Consultant_Silwano

    VIAMBATA VINAVYOTAKIWA KATIKAKUHAMISHA UMILIKI WA CHOMBO CHA MOTO

    1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji. 3.Kiapo cha Umiliki. 4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya...
  13. Consultant_Silwano

    Viambata vinavyotakiwa katika katika kuhamisha umiliki wa chombo cha moto

    1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2. Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji. 3. Kiapo cha Umiliki. 4. Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala...
  14. Damaso

    JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

    Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote. Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo...
  15. TRA Tanzania

    Dar Es salaam: Umebadili umiliki wa chombo chako cha moto?

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto 1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi 2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo 3:TIN ya mnunuzi 4: Kiapo cha umiliki 5: Picha...
  16. Mowwo

    Wasiobadili umiliki wa vyombo vya moto wapewa siku 13

    Wakuu Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa. TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto kubadili umiliki, badala yake alieuza chombo hicho ndiye atakua na uwezo wa kubadili umiliki pekee...
  17. Mr Why

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  18. milele amina

    Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

    Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
  19. GENTAMYCINE

    Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
  20. E

    SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
Back
Top Bottom