umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Promotion ya Bajaji za umeme kwa mkopo na cash

    Habari Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo Bajaji ya abiria Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Umeme muda sio mrefu utaanza kusumbua hivyo raia watalazimika kununua majenereta

    Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta. Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei. Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuanza kuzima umeme ni hofu ya D9.?

    Haki na amani iwe kwenu. Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9? Unarekebishaje miundombinu usiku? Unakoseje nishati hii 12hrs. TANESCO acheni uhuni, wengine umeme unamaana kubwa sana kuliko ujinga wenu wa kudhani mnahahujumu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega amsimamisha kazi bosi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

    SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na viongozi wengine wa taasisi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza hatua hiyo jijini Dar...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema ataua watu kwa majambia hajakatwa. Fr Kitima kusema umeme ulikatika akavamiwa kosa!

    Hili taifa lina viongozi wasiofaa. Na hawajifunzi mpaka mmoja aje aone mkono wa Mungu. Mtu anavamiwa baada ya umeme kukatika anatoa malalamiko yake anaambiawa atachukuliwa sheria mkononi Hivi umeme ukatike ghafla alafu majambazi wavamie kwako ndani ya sekunde moja utapata picha gani? Sheikh...
  8. JamiiForums Tanzania Umeme kuingia Moja Kwa Moja pindi unaponunua umeme

    Tanesco leo kuzindua mfumo mpya wa umeme pindi ununuapo umeme utaingia Moja Kwa Moja kwenye Mita. Sahiv wananchi hawatapa sana tabu kama ilivokuwa hapo nyuma
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

    "Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
  10. JamiiForums Tanzania TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

    TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI Unahitaji fundi umeme wa magari? Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati! Huduma ninazotoa: 🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis) 🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator 🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari 🔧 Programu na ufungaji wa computer...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  12. JamiiForums Tanzania Tanesco uzeni umeme kwa “BUNDLES” vifurushi

    Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7 Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi Hii itapelekea pia kutumika...
  13. JamiiForums Tanzania Matajiri tunzeni hela. Ferrari ya kwanza ya umeme “Ferrari Elettrica“ inakuja soon!

    Kama Enzo Ferrari akifufuka leo, atalia kilio cha mbwa. Ferrari ni maarufu kwa v12 ila sasa it’s officially, wanakuja full EV. Jana, Ferrari wametangaza power terrain, battery na specs za EV yao ya kwanza wanayoiita “Ferrari Elettrica“! Itakuja na jumla ya motors nne, mbili mbele na mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Binafsi naona mradi wa treni ya umeme kama nchi unatuchelewesha

    Sababu kubwa za mimi kuto-support mradi wa treni ya umeme Multiplier effects ya uwekezaji wa gesi asilia ni kubwa sana kulingana na treni hii ya umeme Umeme tunaozalisha kama nchi ni mdogo na hili treni za umeme zifanye kazi flawless basi umeme unatakiwa uwe wa uhakika Treni ya umeme Lot...
  15. JamiiForums Tanzania Porsche wamezindua 4th generation ya Cayenne. Kwa kuanza, wameleta ya umeme tu na unaweza kuichaji Wireless!

    Porche wamezindua generation ya nne ya Porsche Cayenne SUV. Ila cha kushangaza, wamezindua EV tu kwanza, bila kutoa ya mafuta wala hybrid. Ambayo hadi sasa hatujajua watazitoa baadae au ndio basi tena. Kwa ndani, mafundi simu na computer mtatajirika sana. Kwasababu jamaa wameleta display...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Unit 1 inaweza kujaza simu zaidi ya mara 50, kuchaji simu hakumalizi umeme kama wengi wanavyodhani.

    kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts) Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh) Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh Simu nyingi huwa ni 3.7V Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh: (Mah * V) 1,000 (4,000 *...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Rais Museveni wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia. Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Museveni mwenyewe kupitia akaunti ya rais. Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini? Kama taarifa hii...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Giza totoro Cuba nzima kwa Kukosa umeme Septemba 10, 2025

    Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitasambaza umeme Tanzania yote

    Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…