umeme

  1. JamiiForums Tanzania Update: Zinakaribia saa 24 Mbagala hakuna umeme.

    Wakazi wa Mbagala jana kuamkia leo hawana umeme na sasa ni saa 8:19 hawana umeme ni kasoro saa tatu zitimie saa 24 za Tanesco kutokuwa na umeme.
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO Tegeta mnakata na kurudisha umeme mara nne ndani ya dk 1, mnataka mtuunguzie kila kitu?

    Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja? Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

    Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo. Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Na Timotheo Mathayo, Dodoma. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma ya umeme...
  5. JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma umeme. Makamba amesema hayo...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  8. JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara Afya mnajiandaaje na Umeme vijijini?

    Ni kweli sasa hivi umeme unasambazwa hadi vijijini kwa kasi. Hii inamaana kuwa hata kule vijijini kabisa kutakuwa na umeme, lakini tunapofurahia faida za umeme kule vijijini lazima pia tusikitie hasara zake. Faida za kuwa na umeme zinafahamika sana hivyo sitahangaika kuzitaja hapa kwakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Afya: Ndizi za umeme zina usalama kwa afya?

    Kumekuwapo na uivishaji wa ndizi kwenye makontena ya umeme Dar es Salaam. Sifa ya ndizi hizi ni kwamba zina rangi nzuri, tamu ila hazina harufu sana kama ndizi za kuzalisha kienyeji. Mchakato wa uzalishaji ndiyo unanipa mashaka. Kwanza, ndizi hukatwa chane na kuchovywa kwenye maji...
  12. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

    Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

    Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji. Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka ...
  16. JamiiForums Tanzania Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO Yapongezwa kwa Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme Nchini

    TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake za uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mabomu yote yale, bado umeme upo wa kumwaga Ukraine

    Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu' mtu.... Umeme bado upo wa kumwaga, wananchi pale Kyev bado wanaendelea na maisha yao, Putin alipiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…