umeme

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

    Habari wakuu! Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024. “Miundombinu ya treni ya umeme ni gharama kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wahuni huuliza Katiba itakuletea maji, umeme na barabara?

    Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
  4. JamiiForums Tanzania Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Stigler’s George imeanza kutoa umeme, tunaamini mgao utaisha kabisa

    Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa. ANGALIZO Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
  6. JamiiForums Tanzania Shirika la Reli: Treni ya SGR haitumii umeme mwingi

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa, amesema umeme utakaotumika kwenye uendeshaji wa Treni ya Umeme ya SGR una KV 220 lakini kuna transfoma itakayokuwa inapunguza umeme mpaka KV 25. Aidha amesema treni ikifika mikoa ya Kigoma na Mwanza matumizi ya uhitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Dar es Salaam hadi Morogoro, Februari 26, 2024. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  8. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 18 ahadi ya kumalizika Mgawo wa Umeme itimie, Watafanikiwa?

    Zimebaki siku 18 mgawo wa umeme iwe historia! Ndivyo unaweza kusema baada ya kauli ya matumaini ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kuwa ifikapo katikati ya Machi 2024 hakutakuwa na kadhia hiyo tena nchini. Dk Biteko amebainisha hayo leo Februari 25, 2024 alipotembelea...
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza, ukosefu wa maji ni shida kubwa ya muda mrefu

    Wapendwa wadau habarini, Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha. Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu. Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka...
  10. JamiiForums Tanzania Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!
  11. JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Dar es Salaam kuanzia leo Februari 23 hakutakuwa na mgawo

    Msemaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kenneth Boymanda amesema kuwa kwa jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Ijumaa ya Februari 23 hakutakuwa tena na mgao wa umeme. Ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha GOOD MORNING kinachorushwa na kituo cha redio cha WASAFI FM asubuhi hii...
  14. JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

    Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit. Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi. Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mgao Wa Umeme ofisi za Tanesco

    Ingependekeza ofisi zote za Tanesco zisiwe na umeme kama vile wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme usiokwisha, labda hii itawafanya mabosi wa Tanesco watoke maofisini na kufanya kazi kuzuia mgao wa umeme usitokee. Wakati wananchi hawana umeme na biashara zao zinadorora wao Tanesco...
  17. JamiiForums Tanzania LHRC: Hakuna anayewajibishwa licha ya Mgawo wa Umeme kuathiri Watanzania wengi

    Tamko la LHRC kuhusu hali ya Mgomo wa Umeme nchini la February 19, 2024 limeainisha hoja zifuatazo Hoja 5 za LHRC kuhusu Mgawo wa Umeme Nchini 1. Serikali imekuwa inatoa ahadi hewa kuwa tatizo la Umeme litaisha toka kipindi cha Mradi wa gesi 2012 hadi leo 2024 2. Kukatika kwa Umeme...
  18. JamiiForums Tanzania TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Unaweza kuamka kesho mgawo wa umeme umeisha

    "Mahitaji ya umeme nchini ni kati ya megawati 300 mpaka 400, mfano leo asubuhi tulikuwa na mahitaji ya megawati 304 ukiingiza megawati 235 (Kutoka kwenye mtambo wa bwawa la Mwalimu Nyerere) utaona kwa kiasi gani itapunguza uhaba wa umeme, zaidi ya asilimia 80 ya tatizo litapunguzwa kwa kuwasha...
  20. JamiiForums Tanzania Natangaza tarehe 01/03/2024 iwe siku ya mandamano ya kukataa mgawo wa umeme Tanzania

    Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…