umeme

  1. P

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  2. Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  3. Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  4. Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  5. Kwanini nakushauri ununue mashine ya umeme ya kufyatua matofali

    1.unaweza kuikodisha anytime 2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo...
  6. Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  7. M

    Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

    Pamekua na kero kubwa ya umeme tegeta salasala maeneo ya kilimahewa juu. Umeme unakata kata sana bila taarifa na kupelekea vitu kuharibika na kuingia hasara. Tunaomba mamlaka itoe ufafanuzi juu ya hili mana ni maeneo ya huku tu ndo umeme haupatikani lakini maeneo mengine upo. Takribani wiki...
  8. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  9. Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji. Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa: 1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System...
  10. Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  11. M

    TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
  12. M

    AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  13. KERO Kituo cha umeme Mkuranga kiangaliwe, eneo la Kinene hatuna umeme mwezi mzima

    Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani, wiraya ya Mkuranga kata Mwarusembe mtaa wa Kinene.
  14. Kifupi suala la umeme limemshinda kabisa Rais

    Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu. Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme. Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu. 1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere 2...
  15. Sasa nimeelewa ni kwanini mbunge wa Liwale alisema Bwawa la umeme Nyerere liko Liwale

    Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale. Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
  16. Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

    Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane...
  17. Ule umeme wa kabla ya JKNHP nao uko wapi?

    Haya ni mateso makubwa sasa tunayopitia Watanzania! Tunaishi utadhani tupo kuzimu? Ndugu Watanzania ninayo mengi sana kifuani kuwahusu wizara hii ya Nishati na uongozi wa awamu hii inayoshindwa kila kukicha, Nashindwa kuyaandika, Kila nikiandika nafuta , nimeona niulize swali kwa Wizara! Ule...
  18. Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  19. Afariki akijaribu kuiba nyaya za umeme

    #HABARI Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Adamu Assan (30) mkazi wa Mafichoni Kiteto amepoteza maisha kwa kupigwa na shoti ya umeme akidaiwa kuwa alikuwa anaiba nyaya za umeme. Marehemu amekutwa chini ya nguzo za umeme zilizobeba transfoma leo April 06. 2024 eneo la Mnadani Partimbo huku...
  20. N

    TANESCO imetosha sasa, huu umeme wa kushituashitua namna hii bora usiwepo maana upo ila hatuwezi kuutumia

    TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki? Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…