Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...