umeanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Umeme wa 400kV toka Uganda -Tanzania, mchakato umeiva na umeanza, kugharibu dola milioni 250 za kimarekani

    09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
  2. Unakumbuka siku umeanza kujitafuta ukaona uhame nyumbani uamie kwa ndugu ukiamini itakua vyepesi kutoboa je ilikuaje ulipofika kulisaka life

    Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
  3. Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
  4. Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka

    Kwa kauli hii, ni dalili karma imeanza kukutafuna. Soma hapo kwenye box. Mazombi kama kawaida wanaenda kuwateka huo ukoo
  5. W

    Jakaya Kikwete: Dkt. Mwigulu umeanza vizuri, kanyaga twende, UDSM tumefurahi na kufarijika

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho. Dkt...
  6. Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  7. Mtandao wa barabara nchi nzima umeanza kuporomoka!

    Mtandao wa barabara nchi uko hatarini. Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha. Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari. Kahama-Mwanza barabara mbovu. Dodoma -Singida hali mbaya. DSM-Lindi narabara mbovu kabisa. Somanga pale...
  8. CCM Kuna mpasuko mkubwa sana ndani, sasa mpasuko umeanza kionekana kwa nje

    CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM. Tumeona...
  9. Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote. Tume inayojiita tume huru ya...
  10. Ukienda kwenye mchiriku ukiusikia wimbo huu umeanza kuimbwa kimbia!

    ---Nimesha tenda wema nimeumaliza, Kilicho baki sasa ni ubaya....... ( Saa nane usiku hiyo!) Bange, pombe zinawekwa kando, kila muhuni anamtupia jicho mnyonge wake, balaa tu.
  11. Umafia umeanza kukomaa nchini; je, kuna watu bado wanaamini JPM alikufa kwa ule ugonjwa?

    Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
  12. KATAVI: Ujenzi wa meli nne za mizigo bandari ya Karema, umeanza

    https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
  13. UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  14. K

    Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

    Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani. Leo hii CCM katika kikao chao pia...
  15. MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  16. M

    Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

    Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa. Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu. Mechi ni sare, believe me or not
  17. G

    Kama umeanza mwaka 2025 ukiwa na zile nywele zenye jina baya hutoboi, utatoboka.!

    Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka 2025.
  18. TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  19. Vioja gani ulifanya kipindi umeanza starehe ya pombe

    Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani? Kwangu 1. Mwaka Mpya Arusha 2018, Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
  20. Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…