Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.
Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa...
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi.
#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake...
Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu.
Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza!
SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA!
Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha wanaopendana! (kulwa na doto) ikumbukwe kwamba siyo kila Doto atatokana na mapacha, Lakini waliowengi ni...
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto.
Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.