umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 5 yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

    Rais wa Jamhuri wa Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa, kufuatia utawala wake kugubikwa na mambo matano yanayoutia doa katika siku za hivi karibuni. Anaripoti mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi Online na...
  2. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

    Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi. Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa. Bado ikaonekana...
  3. JamiiForums Tanzania Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

    Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya. Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Msipende umaarufu kupitia misaada

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Dk. Alex Malasusa, amekemea baadhi ya Wakristo nchini wanaotumia njia ya kuwasaidia wahitaji ili kujipatia umaarufu au kukubalika zaidi katika jamii. Alisema kutenda matendo mema na kuyatumia kama...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliupa kiki na umaarufu upinzani nchini lakini Samia amewanyamazisha kabisa!!

    Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability. Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya dunia na kusema kweli dunia nzima ilisimama pamoja nao. Kipindi cha huyu mama wapinzani wameachiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta umaarufu

    Habari zenu ndugu wanaJF Mimi natamani kuwa maarufu humu au niwe super star waJF kama akina mwafulani Sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?! Nipeni mbinu wakuu
  7. JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…