ulinzi

  1. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi letu kwa kuimarisha ulinzi na usalama Afrika ya Kati

    Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania La Rocka bar ya Kawe, Dar ongezeni ulinzi watakufa wengi hapo

    Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno. Kijana akakasirika akaenda kuchukua kisu akampa ya moyo Bra bye-bye Rip soldier Bar please tujitahidi...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda. Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC yatoa wito Tanzania kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kupotea na Kutekwa, 1994

    MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30, 2024 kinaungana na wadau wote wa Haki za Binadamu Duniani katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa kufuli umekaa zaidi kisaikolojia kuliko uhalisia

    Katika vitu tumepigwa ni kufuli yaani kuliamini kufuli kwamba linalinda ni chai mchana kweupe ni ulinzi wa kizamani mno.kwanza kidude kinacholock ni kidogo sana yaani hata likipigwa na nondo linajifungua.pili kuna master key inafungua lock nyingi tu kwa hivyo padlocks sio kitu cha kukiamini hata...
  6. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

    Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha. Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom...
  7. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

    Wakuu habari za majukumu, Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili. Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama duniani hutumia nguvu kiasi kudhibiti fujo na kupambana na uhalifu kulingana na pingamizi, kiburi na ukaidi wa wahalifu

    Kwa kawaida, kazi ya mwanzo na muhimu sana ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kulinda amani na utulivu wa watu, mali na makazi yao, bila kutumia nguvu. Vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote, mara nyingi hufikia hatua ya matumizi ya nguvu kiasi, matumizi ya silaha nyepesi na nzito baada ya...
  9. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

    Yessssssss.. niaje! Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!. Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20...
  10. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Iran iko "overrated" lakini ni wa kawaida sana kwenye ulinzi

    kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania. Kuna kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran. Ni wazi kuwa Iran kuna...
  13. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

    U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  19. Jackal

    JamiiForums Tanzania Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

    Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea. Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Usawa wa Jinsia na Ulinzi wa Mtoto

    Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
Back
Top Bottom