Huu Ndio Ulimwengu Tunaouishi 🌍
• Mwanaume anapokuwa na gari zuri, huvutia wanawake wengi kwake. Mwanamke anapokuwa na gari zuri, huwafanya wanaume wamkwepe.
Huu ndio ulimwengu tunaouishi. 🌍
• Kijana wa kiume anampachika mimba mpenzi wake wa kike. Msichana anaacha shule, lakini mvulana...