ulimwengu wa roho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Surya

    Ulimwengu wa Roho ni nini ?

    Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world) Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,, Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti...
  2. M

    Ulimwengu wa roho kwa yanayojiri Tanzania

    Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa? Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua. Lakini wale wenye macho matatu wameshajua mpango mzima na muuaji nguvu zake zimeanza kupungua hana...
  3. a sinner saved by Christ

    Tuwalinde watoto wetu wadogo dhidi ya mashambulizi ya nguvu za giza wanayopitia katika ulimwengu usio onekana wa kiroho

    Watoto wadogo pia kama ilivyo kwa watu wazima nao wanapitia vita vya kiroho kutoka kwa adui Falme za nguvu za giza na mawakala wa nguvu za giza.(shetani,wachawi,mapepo n.k) kwa uzoefu wangu mdogo wa kulea wajukuu zangu hawa wawili mmoja wa kiume yupo darasa la tano na mdogo wake wa kike yupo...
  4. Tajiri Tanzanite

    Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  5. GoldDhahabu

    Atheist wanafahamu kuwa kuna ulimwengu wa roho?

    Wanayazungumziaje matukio kama haya? 1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo! 2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi na unabii wake ukatimia! 3. Uebert Angel alimtabiri mtu atakayechaguliwa kuwa Papa mpya na hilo...
  6. Fateema

    Maajabu ya Septemba 13: Tupac aliuliwa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie

    Ni Yule Yule tena jamaa wa Tiktok amespot video anasema : Tupac aliuwawa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie. Twende kazi : 👇👇👇👇 Akizungumza kupitia kinywa na sauti ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em, pepo alie kuwa amempanda Tupac Shakur wakati yupo...
  7. R

    Wataalam wa nyota naombeni mnisaidie, hali hii imeanza kunitokea mara nyingi. Ulimwengu wa kiroho unajaribu kuniambia nini?

    Ni hali iliyoanza kunitokea mwezi uliopita, Mwanzoni nilipuuzia ila imekuwa too much sasa kiasi cha kunistua. Siangalii muda mara nyingi lakini katika mara chache nazoangalia muda nakuta mpangilio wa namba unaonipa mashaka Nikiangalia muda kunakuwa na namba mbili tu au moja zinazojirudia...
  8. KING MIDAS

    Dalili nane za kuonyesha unaishi kwenye malango yaliyofungwa (closed gates) katika ulimwengu wa roho

    ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸 1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION). Inawezekana ikawa kwenye ndoa,uchumi, biashara,uzao,afya,familia,uchumba,kazi,siasa,uongozi(utawala). Ukiona...
  9. Fufua Tumaini Jipya

    Kwa watu wanaoelewa namba katika ulimwengu wa ROHO

    Mwaka ambao haugawanyiki Kwa mbili mfano 2025/2023/2021 /2019 Kupitia hii miaka unaweza kufanikisha mambo yako kupitia haya mambo Visualization Mediation Examination Gratitude Frequency and attention zikiwa juu kuhusu jambo Fulani utapata hilo jambo kirahisi. Hivyo zingatia haya mambo ili...
  10. ngara23

    Kwenye ulimwengu wa roho, Simba 1 Yanga 3

    Mechi ya tarehe 19 Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma Tumepambana kwenye ulimwengu wa...
  11. Brojust

    Ulimwengu wa Roho, Maswali kadhaa ya kutaka kujua ukweli usio na shaka yoyote.

    Great thinkers Habari zenu. Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ? NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo stahili, Ila akili yako huru ndio itatukomboa wengi tunaotaka kujifunza juu ya haya maswali. 1...
  12. Empty container for sale

    Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  13. excel

    Tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono ina madhara makubwa sana katika ulimwengu wa roho

    SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo. Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza...
  14. K

    Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

    Maisha tunayoishi ni mfano wa operating system nikimaaninisha ukija afrika na kutoa south afrika na nchi za kiarabu kuanzia dakar uje abidjan, accra, lagos, kinshasha, nairobi, dar es salaam, kampala, lusaka n.k utagundua hii miji na mingine sijaitaja inakitu kinachofanana iko dis-organize...
  15. R

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na mwili...
  16. R

    Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  17. Surya

    Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  18. Mamujay

    Ulimwengu wa roho haujui lolote kuhusu wewe kama hujatamka lolote

    Hi, Karibu uchukue nondo. Usitamke jambo kumwambia mtu yoyote kama huna uhakika limekamilika. Mtu umevalishwa pete ya uchumba, unatangaza kila kona, mtu unataka ununue gari unamtangazia kila mtu. Unajuaje wote ni watu wazuri? Kama una jambo la kheri unataka ufanye, chunga sana mdomo wako...
  19. President of China

    Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

    Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting. UTANGULIZI Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
  20. Nyenyere

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari? Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho Wengi hutazama...
Back
Top Bottom