Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions...