ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ulaya haitapinduliwa kwa silaha wala uvamizi bali ukaribisho wao wa kiholela

    Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
  3. JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  4. JamiiForums Tanzania Ulaya waiambia NATO sio toi lao lakuburuzwa, hawatoingia kwenye mgogoro unaoendelea

    baada Trump kushindwa kuwaingiza Vitani washirika wa Ulaya na kuwakosoa Marais wa Ulaya NATO wamemcharukia Trump na kumpa za uso 📞Trump (screaming): “Emmanuel! Giorgia! You cowards! Strait of Hormuz closed, gas at $9! Join the war NOW or I pull out of NATO, cut Ukraine aid, let Putin eat you...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wimbi hili la Ushindi wa Vyama Mrengo wa Kulia Huko Ulaya Magharibi, Waislamu walioko Huko Wajiandae Kufunga Virago

    Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US, Netherlands, Germany Denmark, Malta,Greece nk. Mbaya zaidi wasoshalisti hawa ili waendelee kubaki...
  6. JamiiForums Tanzania TFF tofautisheni ligi yetu na zile za Ulaya kwa mengi, mazingira ni tofauti

    Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na: 1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Kwa China kila goti litapigwa. Do nothing win

    Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana. China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is. Chinese strategy; do nothing and win game theory. Tangu...
  9. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la ulaya laikemea vikali Tanzania

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  13. JamiiForums Tanzania Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Site ipi ni nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live

    Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
  16. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Putin huwa anawakaribisha vizuri sana wajumbe wa Trump kuliko wa Ulaya

    The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
  19. JamiiForums Tanzania Trumpa na Greenland yake ,viongozi wa Ulaya kususia mashindano ya World cup yatakayofanyika Marekani.

    Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu Hapa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…