ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tamko la Katambi ni dharau kwa Mabunge ya Ulaya na bunge la Seneti la Marekani

    Serikali inajua na Katambi anajua kuwa, moja ya sababu iliyopelekea kujadiliwa na mabunge haya ni pamoja na kuwanyima wananchi na vyama vya siasa uhuru na haki ya kukusanyika na kutoa mawazo yao. Unapozuia vyama vya siasa kufanya siasa huku majadiliano ya kuwekewa vikwazo yakiendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  4. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya

    Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
  6. JamiiForums Tanzania Mjadala Na Upigaji Kura Wa Bunge La Ulaya Kuhusu Mpango Wa Ushirikiano Kati Ya Tanzania Na Umoja Wa Ulaya Kwa Mwaka 2026

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuatilia mjadala na upigaji kura uliofanyika katika Bunge la Ulaya tarehe 18 Juni 2026 kuhusu Programu ya Ubia kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya kwa mwaka 2026 yenye Jumla ya Euro milioni 156. Serikali imebaini kuwa baada ya upigaji kura huo...
  7. JamiiForums Tanzania Wapinzani na siasa za kutegemea wazungu. Nawakumbusha kuwa kuna maelfu ya vichwa vya Waafrika huko Ulaya waliodhulumiwa uhai na wazungu

    Kipindi cha ukoloni rasmi na kabla ya ukoloni rasmi Wazungu waliona fursa Afrika. Waafrika tuliona samaki na wanyama kama vitu vya thamani wazungu wakaona madini na ardhi yenye rutuba, yenye uwezo wa kustawisha aina zote za mimea . Kahawa, mpira, chai, pamba, katani, karanga, cocoa, mbao n.k...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chadema inategemea Marekani na ulaya kuwasaidia? Wasahau

    Kama Isreal na Marekani wanafanya watakavyo katika dunia hii hakuna kuulizwa, sio Fifa, sio UNO Wasitegemee Chadema kupata haki katika dunia hii ambayo imejaa double standard
  10. JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

    Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Air tanzania yapingwa marufuku kuruka anga za ulaya

    Kama mnakumbuka mama samia alikuwa ziarani hapo urusi baada ya muda kidogo wakatoa taarifa kwamba air tanzani itaanza safari za moja kwa moja hadi urusi Kumbe kilichojificha ni kwamba air tanzania walipewa notes na kupigwa ban ya kuruka anga za ulaya just why wakaamua kuhamia anga za urusi Haya...
  12. JamiiForums Tanzania Jumuiya na madhehebu ya kikristo karibu yote makao makuu ni Nchi za ulaya Magharibi. Kisiasa hawanufaiki na Urusi

    Hamjambo! Unapozungumzia Ukristo basi jua unazungumzia nchi za ulaya Magharibi. Siasa za ulaya magharibu zinamchango mkubwa katika kuenea kwa ukristo katika nchi nyingi za Bara la Afrika hususani Nchi yetu Tanzania. Na kupitia Kanisa(ukristo) nchi yetu imepata manufaa ya kiuchumi na...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laachia kisago kwa Seikkali ya Tanzania

    Muda si mrefu ulio pita, Bunge la Ulaya limeaachia kisago kikali kwa kuondoa misaada kwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2026/27 kwa miradi yote. Bunge limepiga kura na wabunge 81 wakikubali kuweka vikwazo, mmoja kukataa na wanne kujitoa kwenye kura hizo. Hivyo misaada hiyooo imeyoyoma. Sababu nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  16. JamiiForums Tanzania Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

    Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi Yanangoja tu ICC na Vikwazo . Bado RAIA titaandamana kama kawaida Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!! Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
  17. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulaya na kuukataa uislam

    Na baada ya Taifa la Poland kutangaza kupiga marufuku kujengwa kwa Misikiti "Mosques" ,Na kupinga kupiga adhana basi nchi nyingi za Ulaya zimeanza kufuata nyayo hizo. Na nchi kama Uingereza watu zaidi ya 100,000 waliandamana pale London, Ili kupinga uwepo wa imani hio kwenye Taifa hilo, hio...
  19. JamiiForums Tanzania Mapenzi Bongo vs Ulaya: Mizengwe yote hii?

    Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda...
  20. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand akabidhiwa jezi iliyoandikwa Samia Jembe Ulaya

    Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya? Bado tutaona mengi ========== Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa mchezaji wa zamani na nahodha wa klabu ya Manchester...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…