Mrejesho: Baada ya kwenda kutambulishwa ukweni kama mchumba mtarajiwa

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona.

1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza.

2.Baada ya hapo talisman mazungumzo tukiwa watu watatu mimi, baba mkwe na mama mkwe ila yote tisa kumi ni pale nilipoulizwa.

3.Unafanya kazi gani au unashughuliaha na kitu gani.

4.Baada ya kujiibu niliulizwa tena umejipanga vipi kuishi na binti yetu.

5.Kwa kibarua unachofanya utaweza kumtunza mtoto mimi niliasema ndio.

Pia soma:
Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni
 
Ni stori tu au uhalisia? Ulitumika utaratibu gani wa kutambulishwa hata ukabaki na wakwe zako tu? Au ulienda kutambulishwa kwa wazazi wa mzazi mwenzio?

Makabila 124, pengine mila za baadhi ni flexible kihivyo.
 
Mkuu uliye muoa akiridhika na wewe inatosha kabisa, nikusihi sasa hivi raia wananjaa sana mkuu wakikaa zaidi ya wazazi wawili au mmja tarajia maswali yao yawe ya ovyo.

yaani unaenda ukweni unakuta yupo baba, mama wa binti, shangazi zake, watoto wao, dada na kaka zake, babu na bibi such an extended family mkuu. utatamani mbingu ipusaku paaa! uzame aiseeee pole mkuu kama ndio ivooooo 😣
 
Kuna kazi zingine ukiwa unafanya "

Wala ukutani na maswali meng!..na kujazwa off juu ya mtoto wao;

Imagine...wanatambua kama wew ni MWANAJESHI!!...Sidhan kama watauliza juu ya usalama wa mtoto wao:
 
Kwani wewe unajishughulisha na nini mkuu? Tungeanzia hapo kwanza kabla hatujawahukumu hao wakwe zako. Pia tukifahamu kabila ulilopanga kwenda kuchumbia siyo mbaya.
 
Back
Top Bottom