ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hii kampeni ya Jazwa Ujazwe ya Mtandao wa Tigo ina ukweli wowote?

    Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje? Nimeuliza kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Alipanga mauaji ya familia yake kisa kuficha ukweli kuwa hakuwa anasoma chuo

    Tarehe 23, Desemba mwaka 2003, Katika kitongoji cha Sugar Land Texas, yalipo makazi ya watu wenye ukwasi kusini Mashariki mwa Houston, kulitokea tukio la mauaji ya kutisha. Familia ya watu watano ilichapwa risasi na kibaka aliyevamia nyumba yao. Bart Withtaker na mdogo wake Kevin walikuwa ni...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

    Habari za leo watanganyika wenzangu? Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa asema: Bila kusimamia misingi (principles) vyama vinakosa uhalali wa kuwepo

    Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

    Wasalaam, Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini . Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram "Ndugu @babutale kama umeamua kufunguka kuhusu machafu yanayotokea nyuma ya pazia kwenye tasnia, BASI FUNGUKA... Ila...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu kutoka kwa Rais Magufuli au wasaidizi wake au wanaCCM wenzangu ili ukweli uwe wazi

    %KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI (TMAA) WAPUNGUZIWE MISHAHARA , IMENIFANYA NILETE UZI HUU HAPA ILI TUTAFSIRI KWA PAMOJA UKWELI WA MH RAIS...
  7. JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia chombo gani huru kuupata ukweli wa yasemwayo na Wanasiasa katika nchi yako?

    Raisi Donald Trump aliwahi kudai kaibiwa kura akiwa madarakani. Kura zikarudiwa kuhesabiwa baadhi ya majimbo( Georgia), matokeo ya pili yakaonyesha bado ameshindwa! Akakubali matokeo. Hii ina maana, kiongozi "Mkubwa" katika nchi anapoongea jambo inafaa kama lina ukakasi,kuwepo na chombo kingine...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema. Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK. Dalili zinaonyesha...
  9. JamiiForums Tanzania Masomo 21 Kwa Ajili ya karne ya 21: Ukweli Kinyonga, Kuna Ukweli Bandia Unaodumu Milele

    Dr. Yuval Noah Harari, Mwandishi wa Kitabu kiitwacho, "Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21 (2018) Mwaka 2018, mwanahistoria wa huko Israel, Profesa Yuval Noah Harari, aliandika kitabu kiitwacho, “Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21,” yaani “21 Lessons for the 21st Century.” Kitabu hiki kimechapwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukweli na uwongo

  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

    Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo. Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli. Halima James Mdee mara kadhaa amefukuzwa Bungeni na Spika Ndugai kwa utovu wa nidhamu. Halima James Mdee amewahi kutupwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

    Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

    Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje kama Halima akiamua kusema ukweli kuwa amehongwa na CCM kufanya yale aliyoyafanya?

    Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

    Sisi sote ni mashahidi sakata la akina Komu, Mwambe, Lijualikali,n.k Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina Mdee lakini baadaye "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na "Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge. Mnadhani na kamati...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli unaokereketa: AC Milan na Yanga ni klabu pekee ulimwenguni ambazo hadi sasa hazijafungwa kwenye ligi zao

    Huo ndiyo ukweli. Hongereni sana Yanga na miamba ya soka ya Ulaya na dunia AC Milan. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza katika kuilinda rekodi hii ya kuvutia. Yanga: Daima Mbele, Nyuma Mwiko!
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

    Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…