ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utake usitake huu ndio ukweli, jiandae kisaikolojia

    Tuendelee kuwekana wazi Wazazi walezi na vijana. Miaka michache nyuma ilikuwa kwenda kusoma chuo ni kama "Geti" la mwisho kuingia ktk ajira za serikali. Ilikuwa ukimaliza Certificate Diploma au Degree haizidi miaka 2 unapata ajira serikalini na hata ktk taasisi na makampuni binafsi. Nakumbuka...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba January Makamba ana dharau!

    Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo! Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo. Kwa dharau zake sioni ni kwa namna ipi ataepuka nongwa na mashambulio kutoka kwa wawakilishi wenzake. Wabunge wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Kuhusu Loliondo

    UKWELI KUHUSU LOLIONDO Naa Joseph #Yona Mgogoro wa Loliondo umeshika kasi huku Catalyst mkubwa kwenye mgogoro ni wenzetu wa Kenya, Tanzania inaweka mpaka kwenye eneo la Km² 1,500 tu la Pori Tengefu, Km² 2,500 wanaachiwa ndugu zetu wafugaji waendelee na shughuli zao, Sababu ya Serikali kuchukua...
  4. JamiiForums Tanzania Majirani wanao jishtukia na kuvikana tabia zisizo na ukweli

    Tupo mwanzo wa wiki na mwezi nao ndio unayoyoma.. kwa wenye mishahara mwisho wa mwezi vibunda vimekaribia Mwaisa, unyama mwingi, hapa kazi tu, tuendelee kuupiga mwingi In every day, enjoy to the Maximum. Fight to complete 💪🏿 what you plan to do, as early as possible. Niseme mawili matatu.. Kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Hayati Magufuli atakumbukwa tu by any means necessary. Bila uthubutu wake haya yasingetokea

    Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza. Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu. 📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wamasai lazima wakubali kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao

    Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  8. JamiiForums Tanzania Story yangu ya kweli

    Woudaaa Junior Chalii, maisha niliochezea yalikua ni balaa. Hapa town yalikua ni balaa Nilijifanya mkora kipindi nipo skuli. Wazazi na waalim nkawaletea kiburi. Arusha Sec ndo shule nilioskul. Ndani ya skuli nilikua tofauti chalii kachaa mapigo ya kinyambuleti. Proper uniform juu nimekula...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

    Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo, Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu Imebainika...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la...
  11. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

  13. JamiiForums Tanzania Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge. Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  16. JamiiForums Tanzania Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

    Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu. Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika uongozi wake japo ni mapema kidogo. Wapo watu bado sijui ni seme wana usingizi au bado giza...
  17. JamiiForums Tanzania Sio kila ndio ina ukweli kiundani kuna baadhi ya ndio zaambatana na utani

    Jamii Hip #0p wozaa Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu wa Rihanna kutokuja Tanzania

    Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour. Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ukweli na Upatanishi ya Chadema itaundwa na nani kushughulikia Watu walioumizwa na nani?

    Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa. Je Time iundwe na serikali au nani? Watu walioumizwa na nani? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…