ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

    Something is not right, s'thing is quite wrong mazee.. Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
  2. Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  3. Watangazaji wa Michezo katika Redio na Tv pamoja na Wachambuzi acheni 'Kutudanganya' kuhusu Yanga SC na huu sasa ndiyo Ukweli...

    Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa. Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
  4. Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

    Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
  5. K

    Bila kusema ukweli kuhusu 2020 uchaguzi wa 2025 wengi watasusia

    Nimeona leo kwenye mkutano wa TDC wadau wengi wa vyama na haki. Haya yote ya vikosi kazi vyote havitasaiia chochote kama wadau watafukia yaliyopita bila kuongelea uchaguzi wa 2020. 1. Inabidi yote mabaya yaliyotokea yasemwe na wadau wote kwa uwazi 2. Inabidi wadau wote wakubaliane kurekebisha...
  6. T

    Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

    Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu. Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo. Je, kuna kilichofichwa...
  7. Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

    Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu. Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko. Nafasi imechukuliwa na Kinana Membe karudishwa CCM === Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo...
  8. Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  9. Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere nini kinaendelea? Na kati ya awamu ya tano na sita ipi inasema ukweli?

    Bila shaka wakati Mh. Raisi Samiah Suluhu Hassan akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG na ulipofika wakati wa yeye kuzichambua ripoti zile nimemsikia kwa masikio yangu mawili ya kwamba “Mradi wa ufuaji umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere” utakamilika mnamo mwaka 2024 ama zaidi ya hapo. Nikirudi...
  10. Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49...
  11. B

    Kuelekea Katiba Mpya, ukweli anaougopa CCM kuliko ukoma

    Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka. Kwa sababu hiyo safari ya...
  12. Ukweli ulio mchungu: Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya utajiri wa mali na neno 'ubinafsi'

    Wanabodi heshima kwenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
  13. Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

    "Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC...
  14. Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Bila kupoteza muda. Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba. He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana...
  15. Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

    Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia. Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na Dunia nzima. Lakini ukweli sio hivyo. Hali halisi Iko hivi. Nchi zinazoichukia ama kuonesha...
  16. Ripoti ya uchafuzi mto Mara, ukweli uko wapi?

    Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga, sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
  17. Askofu Kasala awataka Watanzania kusimamia ukweli, haki

    Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Flavian Kasala amewataka Watanzania kusimamia ukweli na haki katika kumuenzi Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli. Askofu Kasala ametoa rai hiyo leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye ibada ya misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa...
  18. Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  19. Ukweli mchungu: Tatizo sio Polisi bali Serikali

    Wasalaam. Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya jeshi lao sikivu na tiifu kwao? Hivi kweli serikali ya CCM haijui kwanini tumefika hapa? Jeshi la...
  20. Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…