ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Ni ugwadu tu lakini ukweli ni kwamba sijawahi enjoy kulala na malaya

    Just imagine yeye amevaa kondom na wewe umevaa kondom, yaani ukiwa unaingiza hauhisi mtelezo wowote zaidi ya kuhangaika tu mpka majasho wazungu hawana hata dalili ya kuja. Plus staili ni moja tu kifo cha mende yaani shida tupu. Nimeamua rasmi sitohangaika tena na malaya. Ni upotevu wa hela tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

    Habari wadau, Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume. Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango...
  3. JamiiForums Tanzania Julio: Nimevutiwa sana na Mayele, ni straika wa ukweli

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amesema kwa msimu huu mshambuliaji huyo wa Yanga, amefanya kazi nzuri n ani straika halisi kwa kuwa anajua kufunga. Amesema “Licha ya kuwa mpira wa sasa hivi combination imesababisha wachezaji wengi kufunga magoli lakini Mayele anaweza kufunga popote. “Tabu...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

    Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke. 1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni. 2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_ 3...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli! Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru" Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki! Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

    Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania. Na Mheshimiwa Rais Samia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

    Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu. Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ukweli juu ya hili suala kwakuwa nimesikia likizungumziwa sana

    Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha.... Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Yanga alitoka droo na raja hapa DSM mwaka 1998

    Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je, Morocco watapigwa ngapi?
  11. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Makamu, bali tuulaumu uongozi wa juu hata kama haturuhusiwi kuongea ukweli

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu. Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

    Baba niliemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

    If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!. Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni yenu uchwara ya "Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli". Wanaume mmekua wa hovyo sana, mmetanguliza upole...
  14. JamiiForums Tanzania Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha. Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage? je tuna la kujifunza? Mshana Jr raraa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mgogoro wa Ardhi Kijiji Namawala Vs Kambenga

    Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe wanane lakini wajumbe saba hawakutia sahihi muhutasari huo. Kambenga hakuwahi kulipa kiasi chochote cha...
  16. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

    Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana. Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa...
  17. JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni. Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji mkubwa wa maharage husababisha uoni hafifu

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo. Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…