Ukweli kuhusu MediaTek

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Salaam wadau.

Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni tu ya mkumbo? Mfano simu za Tecno,Itel na Infinix ni mbovu na kiwango chake ni cha chini sababu ya MediaTek au kuna sababu nyingine?

Mtaalam Chief-Mkwawa tunaomba mchango wako tafadhali.
 
Mediatek ni Soc ina Include vitu vingi sana ikiwemo Cpu, Gpu na mambo mengine kama Isp za camera, Wifi, Bluetooth, Controller za Memory etc

1. Cpu
Siku hizi hakuna anaetengeneza Custom Cpu Android, Wote wanatumia designs za Arm, arm core zake za Cpu zinaweza gawanywa makundi 3.

-Big Core
Hizi kuna Core kama X1, X2, X3 etc

-Middle Core
Cortex A715, A710, A78, A77, A76, A75, A73 etc

-Small core
Cortex A510, A55, A53 etc

Hapa Soc inayokupa Core nzuri ndio bora zaidi bila kujali jina,

Mfano Soc za mediatek kama Dimensity 900, 920, 1080, 8100 na 8200 zote zinatumia Cortex A78 ambazo ni za kisasa na zinakaa na Chaji

Lakini pia kuna Soc za Mediatek Helio P22, G35, G36 ambazo zinatumia cortex A53 ama A55 ni vimeo

Na zipo soc za kawaida kama G80, G99, Dimensity 700, Dimensity 810 ambazo ni za kawaida.

So kwenye Cpu inawezekana kabisa Mediatek ikawa bora kuliko snapdragon ama Exynos ikiwa Core ni Nzuri, ila Tatizo la hawa Ndugu zetu kina Tecno hata siku moja hawatumii Soc mpya za Mediatek, wao ni kusomba tu mabaki ya Soc za zamani, simu chache sana zina Soc nzuri toka kwao, hivyo tatizo hapa ni la Tecno na sio Mediatek.

2. Gpu
Snapdragon zinatumia custom Gpu za kwao wenyewe zinaitwa Adreno, Mediatek na Exynos nyingi wanatumia Mali Gpu za Arm, overall Adreni ni Gpu nzuri zaidi ni ipo adviced kama Gpu zina nguvu sawa Kuchukua ya Adreno sababu in real life itakua na nguvu zaidi.

3. Mambo mengine ya Soc kama Isp na Modems pia Snapdragon wapo vizuri zaidi, ila sio given inabidi uwe makini kuangalia bands, Aina ya camera iliotumika, version ya wifi na Bluetooth etc.

So mkuu Ku conclude Zipo Mediatek nzuri, sio Zote ni mbaya, na zipo pia Snapdragon mbaya, cha muhimu angalia specs husika.

Tecno na Infinix wanauza simu India pia, Tecno Pova 5G na Spark 11 5G india zinauzwa chini ya laki 5, na Zina Dimensity 900 soc nzuri ya 5G inayokaa na chaji na decent perfomance. Kwa Uelewa wangu mimi hizi simu hazipo Africa huku unaletewa spark 8 simu yenye soc ya zamani helio p22 inaweza kwenda shule kabisa.
 
Umeelezea vizuri sana, lakini wengi mtaani wamekariri MediaTek ni mbaya.. Kumbe tatizo ni vifaa vinatumia MediaTek drivers zilizopitwa na wakati kwa karne yenye uhitaji wa technology kubwa..
 
Asante sana Mkuu kwa maelezo mazuri na ya kitaalam. Almanusura nami niingie kwenye Mkumbo wa kuchukia MediaTek bila kujua ninachokichukia ni nini. Asante sana Chief.
 
ebu zigawe kwa makundi cpu za adreno!
 
Snapdragon zote zina adreno

-around laki 3 kushuka snadragon 680
-laki 4 mpaka 5, sd 4 gen 1
-laki 5 mpaka 6 sd 695
-laki 6 mpaka 8 hivi sd 778G
-laki 7 mpaka 1m hivi sd 7+ gen 2
-around 1m-1.5m sd 8+ gen 1
-around 1m kuendelea sd 8 gen 2.

Bei inavyozidi na uzuri unongezeka.
adreno ngap inalingana na cortex 76?
 
adreno ngap inalingana na cortex 76?
Adreno ni Gpu na cortex ni cpu.

Cortex A76 ni core za zamani za cpu toka 2019, sio mbaya ila pia sio zenye nguvu zaidi.

Adreno zenyewe latest kabisa ni 700 series ambazo zinatumika simu za bei mbaya

Kuna Adreno 740, 730, 725 etc. Then kuna 600 series kama Adreno 620 ama 619

Snapdragon yenye cortex A76 na Adreno gpu ni kama Snapdrqgon 855, 730, 765, 768 etc.
 
ooh, ila navo ona ukikuta simu ya helioG99 halafu cortex zake 2 kati ya 3 ni A76 au A78 kabisa inakuwa na mashine kali kuliko baadhi ya hizo adreno!; 🤔
 
Hii ni Cpu mkuu Cortex sio gpu so haifananishiki na Adreno. kinachoenda na Adreno kwenye Mediatek inaitwa Mali gpu. Mfano Helio G99 ina Mali G52.

Helio G99 ina core 2 za cortex A76 na core 4 za A55, hii ni Equivalent ya Snaodragon 720, 730 etc.
 
Unaizungumziaje galaxy a24 sifa zake zinafanana na ulizotaja hapo kwa bei ya 450k
 
A24 inatumia Helio G99 ambayo ni Cortex A76, sio mbaya wala sio nzuri ipo kati na kati. Kwa matumizi ya kawaida haina neno. Ila Ukipata A14 5G yenye Exynos 1330 ni bora zaidi.

Hio 450k ndio bei ya sokoni sasa hivi?
 
Ndio mkuu, a14 haina amoled hivyo haifai bora a24 na mm sio heavy user
 
Chief kasema kwa laki 4 hadi 5 chipset nzuri ni Qualcomm Snapdragon 4 Gen 1 ambayo hii inapatikana kwenye Redmi Note 12

Nilipoangalia benchmark results nimeona MediaTek Helio G99 haina utofauti mkubwa sana na Snapdragon 4 Gen 1. In short Helio G99 sio mbaya hata kidogo kama ukiipata kwa 450K coz difference naona sio kubwa sana na hiyo Snapdragon.
Pia devices za Helio G99 huwa zinatoa results nzuri tu kwenye kipengele cha performance to price ratio

Kama ni kweli kuna sehemu unapata Galaxy A24 kwa 450K naona ni chaguo zuri. Ingawa devices nyingine zenye Helio G99 zinauzwa kwa bei rahisi zaidi ila ni chipset nzuri hata kwa laki 4 na nusu
 
Mediatek ni Soc ina Include vitu vingi sana ikiwemo Cpu, Gpu na mambo mengine kama Isp za camera, Wifi, Bluetooth, Controller za Memory etc

1. Cpu
Siku hizi hakuna anaetengeneza Custom Cpu Android, Wote wanatumia designs za Arm, arm core zake za Cpu zinaweza gawanywa makundi 3.

-Big Core
Hizi kuna Core kama X1, X2, X3 etc

-Middle Core
Cortex A715, A710, A78, A77, A76, A75, A73 etc

-Small core
Cortex A510, A55, A53 etc

Hapa Soc inayokupa Core nzuri ndio bora zaidi bila kujali jina,

Mfano Soc za mediatek kama Dimensity 900, 920, 1080, 8100 na 8200 zote zinatumia Cortex A78 ambazo ni za kisasa na zinakaa na Chaji

Lakini pia kuna Soc za Mediatek Helio P22, G35, G36 ambazo zinatumia cortex A53 ama A55 ni vimeo

Na zipo soc za kawaida kama G80, G99, Dimensity 700, Dimensity 810 ambazo ni za kawaida.

So kwenye Cpu inawezekana kabisa Mediatek ikawa bora kuliko snapdragon ama Exynos ikiwa Core ni Nzuri, ila Tatizo la hawa Ndugu zetu kina Tecno hata siku moja hawatumii Soc mpya za Mediatek, wao ni kusomba tu mabaki ya Soc za zamani, simu chache sana zina Soc nzuri toka kwao, hivyo tatizo hapa ni la Tecno na sio Mediatek.

2. Gpu
Snapdragon zinatumia custom Gpu za kwao wenyewe zinaitwa Adreno, Mediatek na Exynos nyingi wanatumia Mali Gpu za Arm, overall Adreni ni Gpu nzuri zaidi ni ipo adviced kama Gpu zina nguvu sawa Kuchukua ya Adreno sababu in real life itakua na nguvu zaidi.

3. Mambo mengine ya Soc kama Isp na Modems pia Snapdragon wapo vizuri zaidi, ila sio given inabidi uwe makini kuangalia bands, Aina ya camera iliotumika, version ya wifi na Bluetooth etc.

So mkuu Ku conclude Zipo Mediatek nzuri, sio Zote ni mbaya, na zipo pia Snapdragon mbaya, cha muhimu angalia specs husika.

Tecno na Infinix wanauza simu India pia, Tecno Pova 5G na Spark 11 5G india zinauzwa chini ya laki 5, na Zina Dimensity 900 soc nzuri ya 5G inayokaa na chaji na decent perfomance. Kwa Uelewa wangu mimi hizi simu hazipo Africa huku unaletewa spark 8 simu yenye soc ya zamani helio p22 inaweza kwenda shule kabisa.
Mkuu, nimeona hiyo Pova 5 na Pova 5 Pro na pia Pova 6 Pro. Nitakua sawa nikisema kuwa kwa ufafanuzi wako ni kuwa hizi simu ni nzuri? Yaani kwamba unaweza kununua na ikawa na performance safi kabisa
 
A24 inatumia Helio G99 ambayo ni Cortex A76, sio mbaya wala sio nzuri ipo kati na kati. Kwa matumizi ya kawaida haina neno. Ila Ukipata A14 5G yenye Exynos 1330 ni bora zaidi.

Hio 450k ndio bei ya sokoni sasa hivi?
Mkuu
Hii Samsung Galaxy S10e Ni Simu Ya Muds Kidogo
Je Tshs Laki Tatu Hapa Nyumbani Tanzania Naweza Kuipata Mpya
Endapo Kama Kuna Maduka Unayoyajua |/Mpaka Kuagiza Nje Ya Nchi
 
Hakuna S10 yoyote mpya, hizo ni simu za 2019 na warranty zilishaisha toka 2021, yoyote utakayopata sasa hivi ni used ama refurbished.

Hizo refurbished za s10e zipo kibao mkuu wala hazifiki hio laki 3, nyingi ni 250,000 ama chini ya hapo. Sema s10e haikai na chaji.
 
Sawa Sawa
 
Back
Top Bottom