ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

    Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika. Nani mwenye uthubutu? Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma. Tutafakari pamoja..... Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
  2. JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kati ya 'Lake Nyasa' na 'Lake Malawi'?

  3. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua ukweli?

    Madalali kabla ya kukupangisha chumba/nyumba huwa na maneno mengi mazuri ili utoe pesa, maneno mengine huwa ni uongo pia. Ni jambo gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua kuwa alikudanganya baada ya kulipa hela ya Kodi?
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  6. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kiungo wa kuaminiwa anaupiga namba yoyote atakayopangiwa

    USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE Na Comrade Ally Maftah Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza kusema ndio mwanasiasa kinara kati ya miongo miwili yenye mabadiliko makubwa ya mitindo ya siasa, ukuaji...
  7. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  8. JamiiForums Tanzania Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  10. JamiiForums Tanzania Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

    Kwa Mpira mkubwa walioucheza Dar na leo Jorzy nina uhakika Msimu ujao wa Mashindani ya Kimataifa na Usajili wa Kiufundi na Kimkakati ukiendelea kufanywa nao nawaona kufika Fainali ya CAFCL na hata kuwa Mabingwa na Kutuumbua Wazee wa Robo Robo FC kama ambavyo baadae kidogo tunaishia tena...
  11. JamiiForums Tanzania Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

    Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu

    Habari wanajf! Basi kama kawaida yetu kujadili na kupeana mawili matatu, basi leo nakuletea mambo yaliyopo duniani ambao kwa 99% ndio uhalisia. Hii ni tafiti yenye ushahidi wa kutosha, mambo hayo ni; 1. Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu, kama kufuatilia imani za watu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli mfano Shinyanga kwa sasa bila Kahama basi ingeshajifia

    Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa. Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
  17. JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli kuhusu Stephanie Aziz Ki

    Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro; Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira. Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie. Aziz...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

    Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
  19. JamiiForums Tanzania Je Jamaa kasema ukweli?!😆😆

    https://youtube.com/shorts/asilW4p9R_Q?si=WLqTUfN5V1J3Ox5V 😂😂🤣😆😆😆
  20. JamiiForums Tanzania Laana ni jambo la ukweli au danganya Toto?

    Kumekuwa na tabia ya watu kutoa laana kwa watoto wao na hata kwa watu baki, je ni kweli laana inaweza kumkamata mtu aliekosea au ni imani tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…