Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama.

Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii.

Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa na kuuwana kama kuku?

==========================

The Uganda Scheme was a proposal by British colonist Joseph Chamberlain to create a Jewish homeland in a portion of British East Africa. It was presented at the Sixth World Zionist Congress in Basel in 1903 by Theodor Herzl, the founder of the modern Zionist movement. He presented it as a temporary refuge for Jews to escape rising antisemitism in Europe. The proposal faced opposition from both the Zionist movement and the British Colony.[1][2]

A newspaper with a greeting on the occasion of the opening of the sixth Zionist Congress and an illustration of Theodor Herzl on the balcony of the "Three Angels" hotel in Basel.

Soma habari zaidi kwenye ‘Source’ ya habari

Wayahudi wasingeweza kuwa taifa la watu weupe katika ya watu weusi... Maana mademu zao wangepewa sana mimba na watu weusi, kupelekea kizazi chao kupotea kabisa... Rangi nyeusi ingeimeza rangu nyeupe...

Pili wayahudi wasingekubali kukaa Uganda kwa sababu sio kwao kiasili... Wao walitaka kurudi kwao kudai ardhi yao ya kihistoria.

Uganda sio ardhi yao, wangekosa sababu ya kupigania ardhia isiyo yao... Kule Israel wayahudi wana sababu ya kupigania ardhi, wengi wakidai ni yao tangu enzi... Sasa Uganda wangejitetea vipi, kwamba ni ya Ibrahim, Ibrahim na Uganda wapi na wapi
 
Wayahudi wasingeweza kuwa taifa la watu weupe katika ya watu weusi... Maana mademu zao wangepewa sana mimba na watu weusi, kupelekea kizazi chao kupotea kabisa... Rangi nyeusi ingeimeza rangu nyeupe...

Pili wayahudi wasingekubali kukaa Uganda kwa sababu sio kwao kiasili... Wao walitaka kurudi kwao kudai ardhi yao ya kihistoria. Uganda sio ardhi yao, wangekosa sababu ya kupigania ardhia isiyo yao... Kule Israel wayahudi wana sababu ya kupigania ardhi, wengi wakidai ni yao tangu enzi... Sasa Uganda wangejitetea vipi, kwamba ni ya Ibrahim, Ibrahim na Uganda wapi na wapi
Sababu ya pili ina mashiko. Sababu ya kwanza umepuyanga mana huko South Afrika vipi Waafrika wameweza kutokomeza rangi nyeupe?

Hao Waganda wangekuwa tabaka la mwisho na wasingeweza kufurukuta mbele ya Mwisrael!
 
Wenyewe wanajua pale ni kwao na watapalinda kwa namna iwayo yoyote ile na waarabu wanaamini ni kwao, sisi waswahili tunajikuta ndio tunaijua historia na wakati hiyo historia ilivyo andikwa hakuna yeyote kati yetu alikuepo,🤔🤔 nika andae shamba sasa mvua haiko mbali
 
Yaani maeneo Yote ya Geita na yale yenye dhahabu walikuwa wavuke tu kutoka uganda na kuja kuchukua kilaini kabisa ....wayaudi tungewafanya nini sisi ikiwa Mwarabu na ubabe wake Amemshindwa?
Mwenye kuweza kutafsiria watu please Fanya hivyo.
Ila pitia hii ipo kwao lugha ya mfalme wa uk.

The Uganda Scheme was a proposal by British Colonial Secretary Joseph Chamberlain to create a Jewish homeland in a portion of British East Africa. It was presented at the Sixth World Zionist Congress in Basel in 1903 by Theodor Herzl, the founder of the modern Zionist movement. He presented it as a temporary refuge for Jews to escape rising antisemitism in Europe. The proposal faced opposition from both the Zionist movement and the British Colony.[1][2]

A newspaper with a greeting on the occasion of the opening of the sixth Zionist Congress and an illustration of Theodor Herzl on the balcony of the "Three Angels" hotel in
 
"Mwarabu na UBABE wake amemshindwa" Hii sentensi imesaidia kujua ujinga wako. Mwarabu ana ubabe gani hapa duniani?
 
Ujinga ni wako, angalia anavyoshambulia siria, Mara iranq, Mara juzi kapiga ubalozi wa iran , gaza yenyewe misri Akaufyata, saudia arabia kaufyata , uturiki nayo kelele tu kaufyata...unafuatilia habari au unavuta mibangi tu.. Mwarabu angekuwa na uwezo wanachofanya leo hao wayaudi wasinge kifanya.

"Mwarabu na UBABE wake amemshindwa" Hii sentensi imesaidia kujua ujinga wako. Mwarabu ana ubabe gani hapa duniani?
 
Ujinga ni wako, angalia anavyoshambulia siria, Mara iranq, Mara juzi kapiga ubalozi wa iran , gaza yenyewe misri Akaufyata, saudia arabia kaufyata , uturiki nayo kelele tu kaufyata...unafuatilia habari au unavuta mibangi tu.....wewe una linganisha nchi za kiarabu na nchi za Afrika! Watu wanatusua maisha kwenye jangwa la vumbi..Afrika ardhi yeye rutuba haijawahi kuguswa bado ni bikra kabisa..tuliza bangi historia hujui ww.

Ndio maana ulifeli elimu ya darasani, nilichosema ndio umekitetea kwenye maelezo yako.
 
Ndio maana ulifeli elimu ya darasani, nilichosema ndio umekitetea kwenye maelezo yako.
Kumbe Asubuhi ulivuta? Basi mjadala uishie Hapa...maana hakuna Elimu ya darasani nilio feli..pia cjatetea bali nimeweka bayana mwarabu ni mbabe ila kakutana na mbabe zaidi yake ndio maana kaufyata.
 
Sasa Wayahudi waje Uganda halafu Tanzania ndio wakome tena. Au wakati huo Tanzania ilikuwa sehemu ya Uganda?
 
"Mwarabu na UBABE wake amemshindwa" Hii sentensi imesaidia kujua ujinga wako. Mwarabu ana ubabe gani hapa duniani?
Ukiona mtu ni shabiki wa hayo mambo, mkwepe mapema.
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Nadharia za kusadikika. Mungu alishawapa hilo taifa mipaka ya makazi yao tangu enzi za Baba Abraham hivyo sio sawa eti kila mahali mwisrael atakapopita apachukue.
Mzee baba, haujui lolote nenda lasome hii kitu Moral and dogma by albert pike, acha kulishwa matapishi.
 
Back
Top Bottom