ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli wa kufanikiwa kwenye maisha huu hapa

    Japo wengi hawataki kuongea, Hanscana kaongea ukweli Kuna age ukifika lazima uwe mtu WA kuforce mazingira.
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

    Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

    Hello Great thinker wa JF, Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo? Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo? Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Na unakuta hata sisi tunaoonewa na kuwanenea mabaya watu hao, hata sisi hatujakamilika pia ( Roma )

    wanaotutendea mabaya, wanaotutesa, wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia….. Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema watu wengine, wanasaidia yatima, wanawawezesha wajane, wanajenga nyumba za ibada na kutoa sadaka zinazoendesha nyumba hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawapendi kuambiwa ukweli?

    Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli? Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli. Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi ukiingia na gia ya kutaka kumuoa, ukimdanganya kumuoa analoa chapachapa mana wanawake wengi au...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimemwambia ukweli

    Habari za muda huu, Natumai mko poa wana jamiii Leo sijaogopa kumpoteza binti mlokole nimemchana nikawambia wewe mimi kama hutak kunipa tunda na mimi usiniombe pesa. Akasema sawa sitakuomba dooo badae nkawambwambia sasa kana hutaki mimi nikafanye kwa nani na wewe ndio wangu akajibu ety basi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli:- Watu wengi tupo CCM kwa maslahi yetu binafasi..!!!

    INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM 2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe. Watu wengi wapo CCM wana...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ACT WAZALENDO kusema kina Wanawanachama 10 Mil kuna ukweli wowote?

    Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Musomba: Uchawa ni dhambi ya Jamii, anapokosea aambiwe ukweli sio kumsifia tu

    Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine. Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
  14. JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini P Diddy ametaja hayo majina yote hapo? Ukweli ni huu

    https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka kwa ajili ya kurekodi kila kitu kilichokuwa kinaendelea. Kamera za siri? Yaani alikuwa anarekodi...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utajiri wa halali

    Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho, Maswali kadhaa ya kutaka kujua ukweli usio na shaka yoyote.

    Great thinkers Habari zenu. Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ? NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo stahili, Ila akili yako huru ndio itatukomboa wengi tunaotaka kujifunza juu ya haya maswali. 1...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  19. U

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la uhamisho wa watumishi wanaotaka kuwafata wenza wao wa ndoa ni la kweli?

    Wakuu nimeiona hii barua mahali, je, wakuu inaukweli? Kuna mtu anafanya kazi Tanzania Bara na anataka kwenda kufanya kazi Zanzibar kumfata mwenza, je hili tangazo linamuhusu? Je, aanzie wapi?
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…