ukraine

  1. S

    USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  2. SIPENDI SIASA

    OVERTHINKING: Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy anaweza kuwa ni jasusi wa Russia?

    OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR. PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi. KWA UFUPI SANA. ====== The Mitrokhin Commission was an Italian parliamentary commission set up in 2002...
  3. Mathanzua

    Ukraine Attacks Zaporozhe Nuclear Power PlantHal Turner

    Ukraine Attacks Zaporozhe Nuclear Power Plant Hal Turner World January 06, 2025 Ukraine has attacked the Zaporozhe and Energodar Nuclear Power Plant in an effort to create a nuclear catastrophe! On January 5, the Armed Forces of Ukraine (AFU) launched eight (8) aircraft-type drones at the...
  4. Sir John Deere

    Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  5. M

    Rais Putini anataka kukutana haraka iwezekanavyo na Rais Trump ili kujadiliana jinsi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024 WASHINGTON US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
  6. U

    Putin asema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu Ukraine

    Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ambaye ameahidi kufanikisha mkataba wa amani wa Ukraine mara baada...
  7. 5523

    BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  8. MAKA Jr

    Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika

    Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭 Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa...
  9. Mindyou

    Spika wa Bunge la Marekani agoma kumpa Biden Dola Bilioni 24 kama msaada kwa Ukraine. Asema Trump ndo ataamua hatma ya Zelensky

    Wakuu, Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama. Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine. Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema...
  10. Yoda

    Georgia kama Ukraine, Raia wachachamaa wakiandamana kushinikiza kujiunga na umoja wa ulaya(EU) haraka

    Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
  11. Frank Wanjiru

    Marekani imesema haitarudishia Ukraine Silaha zake za Nuclear

    Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
  12. State Propaganda

    Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  13. Dr Jeremiahs

    Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  14. B

    Urusi vs Ukraine 24 Nov 2024

    Habari Wandugu, Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv wanaenda kupatana na Talebani aaah kweli vita ni mbaya unaweza kula hata Mavi. Go home...
  15. S

    Wapiganaji wa Houthi waenda Urusi kuisambaratisha Ukraine

    Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen", Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine. Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema Mazungumzo ya kina...
  16. MakinikiA

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot. Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya...
  17. State Propaganda

    Ukraine has the lowest birth and highest mortality rate than any other country in the planet

    Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo. Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana...
  18. Lycaon pictus

    US na UK zitaizuia tena Ukraine kutumia ATACMS na Storm shadow kupiga ndani ya Russia?

    US na UK zilikuwa zimeizuia Ukraine kutotumia makombora ya ATACMS ya USA na Storm Shadow ya UK kupiga ndani ya Russia. Juzi kati wakairuhusu na Ukraine ikayatumia kupiga ndani ya Russia. Putin amechafukwa sana baada ya kitendo hicho. Kwanza kasema kuwa hatasita kupiga target za kijeshi za nchi...
  19. M

    Baada ya kuona ufanisi wa silaha mpya ya Russia Oreshnik, naomba tujadiliane kuhusu US Military Carriers

    Habari za jioni Great thinkers! Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala. Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi...
  20. 5523

    Biden akubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini

    Vita inaingia kwenye sura nyengine 20 Novemba 2024 Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC. Afisa huyo ambaye alizungumza kwa sharti la kutotajwa jina, anasema mabomu ya aina hiyo yatapelekwa hivi karibuni na Washington...
Back
Top Bottom