ukraine

  1. MakinikiA

    Masikini EU wanateketea kwa kuingilia ugomvi usiowahusu ukraine

    EU central bank warns ‘outlook is darkening’ The ECB has slashed growth forecasts, hiking interest rates even as it predicts inflation will climb further EU central bank warns ‘outlook is darkening’ © Getty Images / Thierry Monasse Europe is facing lower-than-expected economic growth as...
  2. J

    Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

    Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28. Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi. Senators from both...
  3. MK254

    Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  4. S

    Majeshi ya Urusi yaishambulia Ukraine kwa mizinga usiku kucha!

    Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove. Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee🤣🤣😂😂😅😅😅 ======
  5. YEHODAYA

    Gen. Valerii Zaluzhny: It’s time to defeat unprofessional Russian army

    “We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine. ============== Urusi ilipeleka askari professional walioiva vizuri sana mwanzoni mwa vita mwezi February. Kwa agenda moja...
  6. J

    Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

    Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani. The National Advanced Surface to Air Missile System (NASAMS) is a medium-range, network-centric air defence system designed and developed jointly by Raytheon...
  7. MakinikiA

    Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  8. Expensive life

    Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  9. Titicomb

    Kura ya maoni kujiunga Urusi, tangazo la kuongeza askari wa akiba: Maneno ya Putin yanatimia kuhusu malengo ya uvamizi wa Ukraine?

    Habari wana JF, Siku nyingi zimepita sijaandika mjadala(thread) humu jukwaani. Leo nimesukumwa kuandika mtazamo wangu juu ya kinachoendelea nchini Ukraine wakati huu wa vita dhidi ya uvamizi wa Urusi(Russia). Raisi Vladimir Putin mara kwa mara amekuwa akirudia kusema malengo yote ya nchi yake...
  10. MK254

    Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

    Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii. ====== The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according...
  11. kt the irreplaceable

    Special military operation (vita) ya Urusi kwa Ukraine, je yangekua mataifa mengine wangeweza?

    "For capitalism, war and peace are business and nothing but business" Karl Liebknetcht. Katika dunia yetu hii ambayo ubepari umeshika hatamu vita na amani vyote ni biashara kwa wakubwa, vita ni gharama hakuna aneyepoteza pesa au rasilimali bure. Miaka ya 1950s Marekani aliingia vita na...
  12. MK254

    Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

    Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki..... Aprisoner exchange between Russia and Ukraine that included senior Ukrainian commanders was hailed as a victory by...
  13. KweliKwanza

    Balozi wa Ukraine UK: Putin ni muoga na ameshindwa vita ndo maana anatoa Vitisho vya Nyuklia

    Mengine kasema Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha Kasema misaada wanaitumia vizuri Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na...
  14. EINSTEIN112

    Magharibi yalaani mipango ya Urusi ya kura ya maoni kuhusu Ukraine

    Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi. Kura hizo zimeitishwa na maafisa wanaoungwa mkono na Urusi katika mikoa minne ya Ukraine kuuliza iwapo wanapaswa kuwa...
  15. MK254

    Ukraine wazamisha merikebu iliyokua imesheheni wanajeshi wa Urusi na silaha

    Hali inazidi kuwa mbovu kwa Warusi kwenye nchi ya watu..... Ukrainian forces sank a Russian barge transporting troops, equipment and weapons across the major river crossing, Ukraine’s Operational Command South said, according to Pravda Tuesday. "Attempts to establish an alternative crossing...
  16. ngajapo

    Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

    Mzee baba Putin alitumia nguvu ya kutosha kuhakikisha kwamba analifagilia mbali kabisa jeshi la Ukraine kwenye ardhi ya Donbass na kherson akilenga kuwasaidia raia wanaoishi maeneo hayo ambao wengi wao ni wa asili ya Kirusi.. baada ya kufanikisha hilo hakutaka tena kuendele kutumia nguvu...
  17. MK254

    Wazalendo wa Ukraine wakuta ngome zimekimbiwa, waliingia huku wamejiandaa kwa mapambano

    Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town. IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine said its troops have marched farther east into territory recently abandoned by Russia, paving the way...
  18. MK254

    Ukraine wakomboa kijiji cha kwanza Luhansk, operesheni mbele kwa mbele

    Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the latest prize for Ukraine’s continuing counter-offensive pushing Russia away from the second city of...
  19. MK254

    Wanafunzi wa vyuo wa Urusi kupewa likizo wakapigane Ukraine - aibu hadi lini

    Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii ramani, hata wale wanaoshabikia Urusi kisa mihemko ya kidini ya chuki zao kwa Marekani wanapaswa wapate...
  20. MK254

    Ukraine walipua ngome tano za Urusi na kusababisha hasara kubwa

    Wazalendo wa Ukraine waendelea na mashambulizi makali, wamelipua ngome ya Urusi iliyokua na ghala kadhaa za silaha, na wanajeshi na ndege na zana zingine nyingi, Warusi walikua wamejichimbia kwamba hapo ndio mwisho wa Ukraine, ila kilichowakuta ni balaa.... The General Staff of the Armed...
Back
Top Bottom