ukraine

  1. N

    Maana ya ushindi wa vita, case of Russia-Ukraine war

    Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni...
  2. JanguKamaJangu

    Putin asema hawana nia ya kufanya mashambulizi mazito Ukraine

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine. Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa maeneo 22 kati ya 29 waliyoyalenga wameshashambulia na nia yao siyo kuiharibu Ukraine yote. ___...
  3. S

    Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii wakati tunamkumbuka Nyerere tutafakari angesimamia wapi katika suala la Urusi na Ukraine. Nyerere...
  4. Webabu

    Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

    Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka tayari keshatoa zaidi ya dola milioni 80 kwa ajili ya vfaa 20000 ambavyo vimekuwa ni nguzo ya mawasiliano...
  5. MakinikiA

    Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
  6. M

    Kwa kutumia Kamikaze drones, vifaru na vifaa vingine vya kijeshi vya Ukraine vinaunguzwa kama mchezo fulani!

    Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has published new footage of kamikaze drone strikes against Ukrainian troops. The attacks were carried out...
  7. matunduizi

    Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

    JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe. JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
  8. Webabu

    Droni za Iran zaleta taharuki Ukraine

    Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na hazitobadilisha kasi yao ya kuteka miji ya Urusi.Mambo yamebadilika tangu wiki mbili zilizopita...
  9. S

    Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

    Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine. Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora matakatifu na drones zinazonasibishwa na Uajemi, ukipenda ziite Kamikaze drones. Kamanda huyo kaanza...
  10. M

    Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania. Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
  11. Narumu newz

    Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
  12. MK254

    Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa...
  13. Webabu

    Ellon Musk akataa kutoa mawasiliano kwa Ukraine kuipiga Crimea ya Urusi

    Sasa imekuwa rasmi kuwa Ellon Musk ameyakataa maombi ya Ukraine kutumia mifumo yake ya mawasiliano katika eneo la Crimea. Ellon amesema akiruhusu hilo itakuwa kama ameruhusu Urusi kutumia silaha za nyuklia. Kwa upande wa maeneo mengine ya Ukraine amesema hawezi kutoa maelezo zaidi kwani ni...
  14. S

    Urusi yaendelea kutema moto; leo imeteketeza vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky, na miundombinu ya nishati za Ukraine

    MK254 , huyu kamanda wetu mpya Sergei Surovikin ni ukoma aisee... Leo jumanne pia kampelekea moto mkali Zelensky kama nyongeza ya kisasi juu ya vitendo vyake vya kigaidi vya kulipua daraja la Crimea. Mvua za makombora ya leo zimechoma vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky na miundombinu ya...
  15. MakinikiA

    Hebu tumjue vizuri Jenerali aliyetoa mapigo mkakati dhidi ya Ukraine

    Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii. Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
  16. Webabu

    Ukraine yaishiwa silaha, haiwezi kuzipata tena kwa wakati

    Wakati vita vikiingia mwezi wa 8 mataifa ya Ulaya yaliyokuwa yakiifadhili kwa silaha nchi ya Ukraine sasa wameishiwa na silaha zao huku makampuni ya kutengeneza silaha yakisema itachukua miaka kadhaa kuweza kuzalisha tena kiasi cha kuzitosha nchi zao na ili zibaki za ziada kuoa misaada nje...
  17. kimsboy

    Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine

    Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...
  18. kimsboy

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine. Donald Trump amekuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa Rais Joe Biden wa Marekani. Aidha Trump na...
  19. S

    USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

    Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv. Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
  20. MK254

    Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

    Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi sio kukimbilia kuua raia. What can the air defense shields do? The IRIS-T SLM can defend from...
Back
Top Bottom