Ukraine inatumia Vifaru 440 na Magari ya Vita 650 yaliyotelekezwa na Urusi

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi kumuadabisha.

Pia kuna ripoti ya drone ya Shaheed kutoka Iran ambazo zimeangukia mikononi kwa Ukraine ambazo zinasafirishwa kwenda chunguzwa Marekani.

Since Feb. 24, Ukraine's Armed Forces have captured at least 440 Russian main battle tanks and 650 other armored vehicles, which make up "over half of Ukraine's currently fielded tank fleet," the U.K. Defense Ministry reported on Oct. 7.

bwana Putin mitano tena

Na log off Z

Screenshot_20221006-140257.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tuliaminishwa silaha Bora duniani ni za Russia
Tuliaminishwa mwanajeshi wa Russia hafi
Tuliaminishwa Putin ni komandoo anapiga dunia
Tuliaminishwa Putin hatoivamia Ukraine...by Putin himself
Tuliaminishwa ni three days special military operation ya siku tatu to kyv
Tuliaminishwa ukimsaidia Ukraine utachezea Moto
Tuliaminishwa zelensky is just a comedian
Tuliaminishwa Finland na Sweden hazitaomba kujiunga NATO
 
Winter inanukia na Mamlaka ya Urusi haijui sale za Jeshi karibu milioni 1 za kwenye makaratasi zipo wapi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Xmas kuna watu wataota moto kwa kutumia kuni
Sasa wanaandaa Miti
Jeuri zitaisha hapa tayari gas na umeme bei zimepandishwa sana wengine wameshindwa kumudu temperature ni +13 ikifika minus tutaheshimiana tu
Kabla ya Gase waliishi vipi....kwani hakuna teknolojia ya Umeme wa Nuke?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tuliaminishwa silaha Bora duniani ni za Russia
Tuliaminishwa mwanajeshi wa Russia hafi
Tuliaminishwa Putin ni komandoo anapiga dunia
Tuliaminishwa Putin hatoivamia Ukraine...by Putin himself
Tuliaminishwa ni three days special military operation ya siku tatu to kyv
Tuliaminishwa ukimsaidia Ukraine utachezea Moto
Tuliaminishwa zelensky is just a comedian
Tuliaminishwa Finland na Sweden hazitaomba kujiunga NATO
Kina nani walisema haya ?...usiwasingizie Warusi weusi ?..😂😂😂
 
Kabla ya Gase waliishi vipi....kwani hakuna teknolojia ya Umeme wa Nuke?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Leo imesema itatoa Vibali 100 kwa ajili ya utafutaji wa Oil na Gas huko North Sea
Mkuu haya ya kusema zamani waliishi vipi ni kwetu ila huku hiwezi kuishi bila hivi kwa maisha ya sasa kwani sio Africa huku

Nuclear energy haitoshelezi mahitaji kwa wote na wanahitaji zaidi
Hata hivyo nuclear energy haisaidii kupunguza uchafuzi kwa asilimia kubwa

Tutapambana hivyo hivyo na mambo yatakaa sawa tu
Ya Putin yatapita haya
Fuel ilifika £2 kwa liter ila sasa imeshuka na kufika £1.67 na itashuka tena

Mkuu kuna watu huku uk wanatumia kuni bado wala sio ajabu ila gas na mafuta ni muhimu kwa maisha ya kila siku
 
Xmas kuna watu wataota moto kwa kutumia kuni
Sasa wanaandaa Miti
Jeuri zitaisha hapa tayari gas na umeme bei zimepandishwa sana wengine wameshindwa kumudu temperature ni +13 ikifika minus tutaheshimiana tu
Lakini Mkuu cha kushangaza wewe upo West huko huko unakula mema ya Dunia kutokana na maamuzi ya viongozi wao ambao walikufanya hadi ukavutiwa kwenda kuweka makazi kabisa huko.Una mpango wowote wa kwenda pia kuishi Russia au ndiyo unaisuport hapa hapa JF
 
Tutapambana hivyo hivyo na mambo yatakaa sawa tu
Ya Putin yatapita haya
Fuel ilifika £2 kwa liter ila sasa imeshuka na kufika £1.67 na itashuka tena

Mkuu kuna watu huku uk wanatumia kuni bado wala sio ajabu ila gas na mafuta ni muhimu kwa maisha ya kila siku

Hapa sasa umenena,hakuna Kiongozi yoyote anayeweza kutishia wengine kisa tu Nchi yake ina resource ya kuwaumiza .Huyu Putin pia atapita na maisha yataendelea na hayawezi simama.Ninajua mnapitia wakati mgumu lakini nyakati ngumu ndiyo huwa zinaleta suluhu ya kudumu pia.
 
Tuliaminishwa silaha Bora duniani ni za Russia
Tuliaminishwa mwanajeshi wa Russia hafi
Tuliaminishwa Putin ni komandoo anapiga dunia
Tuliaminishwa Putin hatoivamia Ukraine...by Putin himself
Tuliaminishwa ni three days special military operation ya siku tatu to kyv
Tuliaminishwa ukimsaidia Ukraine utachezea Moto
Tuliaminishwa zelensky is just a comedian
Tuliaminishwa Finland na Sweden hazitaomba kujiunga NATO

tuliaminishwa atatumia na nyuklia

Goo zelensky goo.
DOUBLE THE FUN.
crimea is missed you.
 
Lakini Mkuu cha kushangaza wewe upo West huko huko unakula mema ya Dunia kutokana na maamuzi ya viongozi wao ambao walikufanya hadi ukavutiwa kwenda kuweka makazi kabisa huko.Una mpango wowote wa kwenda pia kuishi Russia au ndiyo unaisuport hapa hapa JF
Mkuu hata mwanzo nilikuwa Iraq
 
Magoli mumeamua kuyahamishia huko sio?
Mkuu hata mimi niko huku na ninapambana na hali yangu
Maisha sio mabaya na tutavuka tu hapashindikani kitu
Unaona Biden anasema Putin hatanii na anamuelewa vizuri

Wazungu wengine wako kimya saa hizi tunatafuta machimbo ya mafuta North Sea sasa kama kuna kampuni Tz ya kuchimba itume maombi
Daa nilifikiri mwaka 3079
 
Leo imesema itatoa Vibali 100 kwa ajili ya utafutaji wa Oil na Gas huko North Sea
Mkuu haya ya kusema zamani waliishi vipi ni kwetu ila huku hiwezi kuishi bila hivi kwa maisha ya sasa kwani sio Africa huku

Nuclear energy haitoshelezi mahitaji kwa wote na wanahitaji zaidi
Hata hivyo nuclear energy haisaidii kupunguza uchafuzi kwa asilimia kubwa

Tutapambana hivyo hivyo na mambo yatakaa sawa tu
Ya Putin yatapita haya
Fuel ilifika £2 kwa liter ila sasa imeshuka na kufika £1.67 na itashuka tena

Mkuu kuna watu huku uk wanatumia kuni bado wala sio ajabu ila gas na mafuta ni muhimu kwa maisha ya kila siku
Nuclear haichafui mazngira
 
Back
Top Bottom