Ukraine yasonga mbele Luhansk, Urusi wapo bize na kulenga raia

Ukraine yasonga mbele Luhansk, Urusi wapo bize na kulenga raia

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets.

makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine yamedunguliwa.

haya makombora hata nusu yake yangepiga mstar wa mbele nafkir huenda wangekua wamefanya kitu cha maana labda.

Jana Ukraine limesonga mbele na wamekomboa vijiji 7 huko mkoa wa Luhanskn.

Vijiji hivyo ni Novoliubivka, Nevske, Hrekivka, Novoiehorivka, Nadiia, Andriivka, na Stelmakhivka, amesema Gavana wa mkoa wa Luhansk Haidai. lakini pia 'geolocation' ya picha inathibitisha madai hayo.

Jeshi la Ukraine lilipo komboa mji wa Lyman huko mkoa wa Donetsk mnamo Oktoba 1, ambapo, kulingana na Haidai, iliunda ngome inayoisaidia Ukraine kusonga mbele katika mkoa wa Luhansk.

IMG_8465.jpg

View attachment 2382658
 
Bado waafrica safari yetu ni ndefu ,usiamini kila kitu media inachokuwambia. Ungesoma unakaa kimya ukaishia kuangalia mipaka ya kiwanja au shamba lako la urithi maana haya ya Ukraine na Russia uwaachie na ndugu zao wa magharibi basi. Huo ni ushauri wa bure tu mkuu
 
Sasa unakuja kufanya nini kwa hii forum? Ningekuelewa sana kama hata usingekuwa na muda wa kufungua hii forum achilia mbali kucomment. Usikute unamshauri mtu ambae ameajili watu zaidi ya 100 na mambo yake yako safi kabisa.Wewe soma na upite kimya kimya uendezako.
 
Hata unavyoandika unaonekana kabisa wewe ni timu Russia. Sasa kwa nini unaona kero Mtu mwingine kuonyesha hisia kule moyo wake ulipo?
 
Back
Top Bottom