mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo manne ya Ukraine yameota mbawa!
Vikwazo kwa maelfu vya kiuchumi vilivyodhaniwa vitailazimisha Urusi kusalimu amri kinyume chake vimesababisha hali ngumu sana ya kiuchumi kwenye mataifa yaliyoweka vikwazo hivyo!! Wananchi wa mataifa ya magharibi wameanza kuwa kinyume na viongozi wao kwa maandamano makubwa ya kuwapinga!
Kuona hivyo japo kwa aibu lakini Marekani keshaanza kuomba po kwa kuishauri Ukraine ikubali mazungumzo na Putin!! Ikumbukwe kuwa Marekani ndiyo iliyokuwa inaizuia Ukraine kuketi kwenye meza ya mazungumzo na Urusi wakiamini ushindi dhidi ya Urusi utapatikana kwenye uwanja wa vita!! Waliamini hatimaye Urusi itaishiwa silaha, kinyume chake nchi za magharibi ndizo zinazoishiwa silaha!! Wamepeleka air defenses lakini hazijafua dafu kuzuia kipigo!!
Ukrainian soldiers prepare to fire a round on the frontline in the eastern Donbas region of Bakhmut [Clodagh Kilcoyne/Reuters]
By Mersiha Gadzo
Click here to share on social media

Live news: US reportedly urging Ukraine to talk to Russia
Ukrainian soldiers prepare to fire a round on the frontline in the eastern Donbas region of Bakhmut [Clodagh Kilcoyne/Reuters]
By Mersiha Gadzo
- The US is privately encouraging Ukraine’s leaders to drop their public refusal to engage in peace talks unless President Vladimir Putin is removed from power, the Washington Post reports.
Click here to share on social media