ukraine

  1. MK254

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu. I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi. Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika. Globalfire
  2. Suzy Elias

    BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  3. Suzy Elias

    Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  4. ommytk

    Vita Ukraine inazidi kututesa vifurushi vya simu vimepanda tena

    Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
  5. MK254

    Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

    Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo...
  6. Gama

    Urusi: Makabila madogo yaongoza kwa kuwa na vifo vingi katika vita ya Ukraine

    Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu. Mfano: Moscow [yenye watu...
  7. Suzy Elias

    Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

    Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo. Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  9. S

    Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

    Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya...
  10. MakinikiA

    Mfumuko wa bei EU umepanda sasa double digit

    Double-digit inflation hits another EU member Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets” Double-digit inflation hits another EU member Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
  11. I

    Je, baada ya kupata pigo kwenye vita vyake na Ukraine, sasa Russia iko tayari kutafuta muafaka?

    Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita. Inaonekana vilevile kwamba Russia wanakiri kwamba hawataweza kufikia malengo yao waliojiwekea kufuatia matokeo...
  12. dudus

    Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

    Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita. Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
  13. Webabu

    Mambo yanayoiaibisha Marekani kwenye vita vya Ukraine na Urusi

    Kwanza ni nia ya Maarekani kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya Carbondioxide. Ili kuwezesha azma hiyo ni lazima Marekani iongeze uzalishaji wa nguvu za nyuklia kwa matumizi ya viwanda vyake. Kazi hiyo huwa ni ngumu kwani kampuni inayouza mafuta ya kutengenezea nguvu za nyuklia kwa matumizi...
  14. EINSTEIN112

    Sheria ya kijeshi aliyoweka Rais Putin kwenye majimbo yaliyonyakuliwa kutoka Ukraine

    Rais Vladimir Putin ameweka sheria ya kijeshi - kwa mara ya kwanza katika historia ya Urusi ya sasa, kwa sasa sheria hiyo inatekelezwa katika eneo pekee lililotwaliwa na Moscow. Baraza la shirikisho liliidhinisha kwa kauli moja uamuzi wa Bw Putin. Rais mara moja alianzisha ''hatua'' mbali...
  15. R

    World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  16. kimsboy

    Iran yapeleka makombora hatari ya Fateh nchini Urusi

    Makombora ya Iran yapelekwa nchini Russia kwa ajili ya kushambulia Ukraine Iran yapeleka makombora aina ya Fateh-110 na zolfaghar. Makombora haya yana uwezo wa kushambulia umbali wa kilometers 300 hadi kilometers 700. Iwapo makombora haya yatatumika nchini ukraine, basi kila eneo lililopo...
  17. MK254

    Ukraine washambulia ofisi ya meya pandikizi wa Urusi

    Moto ni ule ule....mbele kwa mbele. ====== KYIV, Ukraine (AP) — Pro-Kremlin officials on Sunday blamed Ukraine for a rocket attack that struck the mayor’s office in a key Ukrainian city controlled by the separatists as Russia’s war nears the eight-month mark. Meanwhile, Ukrainian officials...
  18. Suzy Elias

    China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

    Mamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
  19. S

    Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

    Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote. Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
  20. MK254

    Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
Back
Top Bottom