Ukonga is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania with postal code number 12107.According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,014.
Naitwa Sabrina
Nina miaka 22,
Naishi Dar, Ukonga.
Elimu yangu kidato cha 4
Naongea English na Kiswahili,
Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
Ukonga ni miongoni mwa majimbo 3 ambayo yapo katika Wikaya ya Ilala. Wengi wa wakazi ni wa kipayo cha chini na wachache cha kati.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi, kama kawaida mengi hujitokeza. CCM Ilala, DSM na taifa wasipotafakari 2020 jimbo tutaligawa kwa Upinzani tena. Zaidi ya wanachama...
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugola katika magereza hayo.
Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba, alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji...
Ni miaka 22 imepita sasa tangu Serikali ya CCM chini ya Benjamin Mkapa kutoa stop order hapo mwaka 1997 ya kuwazuia wakazi wa kipunguni A, Ukonga jijini Dar es salaam kuendeleza makazi yao ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwalimu JKN lakini wakazi hao mpaka leo hawajalipwa chochote.
Je...
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na...
Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amekata rufaa Mahakama ya Wilaya Ilala akipinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo ya Ukonga.
Katika hukumu hiyo, Odunga alitakiwa kutoa Sh7 milioni kama nusu ya gharama za matunzo aliyotumia mkewe, Medilina Mbuwuli kumsomesha mtoto wao kuanzia darasa la kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.