ukonga

Ukonga is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania with postal code number 12107.According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,014.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)

    Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM) Accademic qualifications Diploma in accounting and finance Computer applications Basic Diving Simu :0764877912
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya sheria, biashara, kodi, uhasibu, udalali na stationary

    Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya. Huduma zetu; SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI) BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi, KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio...
  3. politicians

    JamiiForums Tanzania Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  4. pombe kali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

    Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote. Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jerry Silaa akataliwa na Wananchi wa Jimbo la Ukonga mbele ya Waziri Ulega

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini wananchi hao walionesha kutokubaliana na salamu hizo. Baadhi ya wananchi walionesha kuwa wanataka...
  6. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri maeno ya Ukonga, Gongo la Mboto hadi Pugu

    Habari za humu Jumba la Melo! Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo. Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo. Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
  11. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Jerry Slaa umetudharau sana wana Ukonga

    Katika makosa ambayo Chama Cha Mapinduzi chini ya aliyekuwa Mwenyekiti taifa mwaka 2020 iliyafanya ni kumpendekeza Jerry Slaa kuwa mbunge wa Ukonga. CCM ilijipa Certificate ya kukataliwa moja kwa moja na wana Ukonga kwa kutuletea huyu mbunge mwenye dharau, kiburi, majivuno na asiyejua wala...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, M/kiti wa Wazazi Wilaya na Mbunge mmeharibu uchaguzi Ukonga na kusababisha fujo zinazoendelea

    Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu. Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda hayajatoka juu. Kata ya Ukonga wamelazimisha kupita Batenga ilhali haishi ukonga. Mgombea mwenzake wa...
  13. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa kuanza kuendesha bodaboda kuanzia Novemba 2 ili kuwaunga mkono bodaboda wote Tanzania

    Ni yeye Silaa Amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam Silaa ambaye ni Mbunge wa kuchaguliwa akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Ukonga amesema nia yake hiyo ni kutaka kuonyesha umoja na madereva wote wa bodaboda nchini Tanzania. Ikumbukwe, Mamlaka za Serikali ndani ya mkoa wa Dar es Salaam hivi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Traffic police wa ukonga leo wamegoma?

    Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote. Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote. Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI ACP Debora Magiligimba RPC Ilala Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

    Tukio liko mubashara ITV Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni. Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. Gwajima anasema wananchi wa Kawe...
  18. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

    ''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga. Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza Hizi ndio PHD sasa
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa...
  20. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Makazi ya FFU Ukonga yaangaliwe upya, yamechakaa sana

    Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam. Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa...
Back
Top Bottom