ukonga

Ukonga is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania with postal code number 12107.According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,014.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio hao 27 waliotajwa na Lissu Jana Mh Samia hii ni dhambi mbaya mno muue Lissu

    Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi? Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  3. A

    GE2025 Alex Msama; mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

    Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi. Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili. Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
  4. A

    Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  5. Mzee Mwanakijiji

    Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  6. A

    PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  7. T

    DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  8. M

    Wilaya ya Ilala ni kubwa igawanywe ipatikane wilaya ya Ukonga

    Wilaya ya Ilala ni kubwa ambayo inahusisha mjini kwa maana ya kariakoo na posta pamoja na miji ya pembezoni kama Tabata, Segera, Kinyerezi, Maramba, Kitunda yote hadi Kivule,Ukonga, Gongo la mboto na vitongoji vyake ikiwa ni pamoja na chanika na maeneo mengine kama majohe pugu bomba mbili bwera...
  9. R

    Kama alikwenda kumjulia Hali Nairobi hospital, Kisha ubelgiji, atakwenda pia kumpa pole pale Ukonga.

    Salaam! Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana. Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda...
  10. Heparin

    PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

    Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!. Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
  11. Emilio Mzena

    Nilipishana na msafara mzito wa gari za KM (Kikosi Maalum cha Magereza) hapa Banana, pengine ndio Lissu anapelekwa Ukonga?

    Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
  12. M

    Barabara za jimbo la Ukonga mbovu sana kulikoni?

    Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam. Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu. Barabara ya mombasa hadi bombambili ni shida kubwa Barabara ya kampala hadi bwera ni shida Barabara ya...
  13. Carlos The Jackal

    Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  14. C

    Ufisadi wa Mawakili Feki na Athari kwa Wananchi Ukonga

    Mwabukusi, Rais TLS, hali ya mahakama za mwanzo ni ya kusikitisha. Kuna wanasheria uchwara wengi. Rais Mwabukusi, sijui kama unajua hali hii hapa Ukonga? Katika mahakama za mwanzo, zipo ofisi za "wanasheria" wa ovyo ambao wanapokea kesi za watu na kuzipeleka mahakama za mwanzo na za juu. Wengine...
  15. Kitomai

    House4Sale Nyumba Inauzwa - Ukonga, Dar es Salaam**

    ** Nyumba inauzwa katika eneo la Ukonga, Dar es Salaam. Ukubwa wa Kiwanja: 885 mita za mraba Hati: Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki Vyumba: Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, na sebule pamoja na mahali pa kula Ufikiaji: Nyumba inafikika kirahisi Bei: 130mil Maelewano yapo Kwa...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Wapinzani mitaa 28 Ukonga wametia mpira kwapani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya Jimbo la Ukonga, vyama vingine kwenye uchaguzi wa...
  17. G

    Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)

    Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM) Accademic qualifications Diploma in accounting and finance Computer applications Basic Diving Simu :0764877912
  18. Brojust

    Tunatoa huduma ya sheria, biashara, kodi, uhasibu, udalali na stationary

    Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya. Huduma zetu; SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI) BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi, KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio...
  19. politicians

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  20. pombe kali

    PreGE2025 Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

    Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote. Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini...
Back
Top Bottom