ukimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    KERO Ukimya wa Uhamiaji na Maumivu ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo kutoka Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya wazi na ya kuwajibika kwa...
  2. Titicomb

    Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  3. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  4. R

    PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

    NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
  5. Marmeid

    Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
  6. K

    Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
  7. M

    PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  8. DR HAYA LAND

    Ukimya huu unaashiria kukubaliana kutokukubaliana, nafikiri hivyo

    KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI. Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
  9. Nyani Ngabu

    Ukimya ni usaliti

    Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo. Labda ni hivi au labda ni vile. Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao. Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu...
  10. A

    DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  11. Victor Mlaki

    Kufugwa kwa akili ya binadamu; Kelele ya ukimya Duniani kama Jehanamu.

    Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia. Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
  12. BLUE DOG

    Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

    Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako. Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake...
  13. Prof_Adventure_guide

    Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  14. Prof_Adventure_guide

    Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  15. Pdidy

    Ukimya ulivyompa ndoa, endeleeni na kelele mtazalia nyumbani

    PART 16 JINSI UKIMYA ULIVYONIPA NDOA Kwanza pale pale kanisani baada ya kuaga Mama yangu wa kambo na Ndugu zangu wakanifwata na siku hiyo Baba alikuwepo ibadani, akaniambia kila laheri mwanangu Mungu akutangulie, angalau ubadilishe mazingira upate na mwanaume wa Kijijini huko akuoe. Aliongea...
  16. curie

    Huu ukimya wa CHAUMMA Je wamekosa support ya wananchi?

    Inaonekana sababu CHAUMMA wamekuwa “kimya” ni kwamba hawajakuwa na shughuli za kampeni au matukio makubwa ya vyombo vya habari hivi karibuni. Katika miezi ya hivi karibuni: Chamsha taarifa tu kuhusu uteuzi wa safu ya uongozi wao (wakati huu kumekuwa na uteuzi wa kaimu Mwenyekiti) . Pia...
  17. TODAYS

    Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  18. kagoshima

    Ukimya wa Zito Zuberi Kabwe kwa ukandamizaji wa haki unaoendelea inasikitisha na kufikirisha

    Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania. Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
  19. Crocodiletooth

    Ukimya wa serekali yetu, unamaanisha, inashughulikia kimya kimya kelele za watanzania.

    Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema, Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa sasa watanzania wakae na kujidai kifua mbele, taarifa za siri zinaeleza baadhi ya watekaji...
  20. Tlaatlaah

    Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

    Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania. Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo. Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo...
Back
Top Bottom