ukimwi

  1. JamiiForums Tanzania Muogope mtu mwenye kauli hii; 'Mimi najiamini, kila mwezi napima UKIMWI'

    Katika pita pita zako za mapenzi na mahusiano, hakikisha unamuogopa mtu mwenye kauli hii; "Mimi najiamini, kila mwezi napima UKIMWI". Ukikutana na mtu mwenye hiyo kauli hakikisha unavaa, yaani usiache kuvaa mipira. Kama huna desturi ya kuvaa basi kimbia mbio. Right Marker Dar es salaam.
  2. JamiiForums Tanzania UKIMWI: Hali na Tahadhari

    Audio: UKIMWI: Hali na Tahadhari Chanzo: Aise wakuu UKIMWI ni noma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yazinduliwa USA

    Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9. Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na...
  4. JamiiForums Tanzania Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

    Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi 👇👇👇👇👇 How potential HIV drug will work it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it. HIV viral structure Desired therapeutics method;- engulf viral RNA genome and eliminated it Method of...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa serikali kuwapima wanafunzi UKIMWI na MIMBA

    Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo. Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu . Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe . Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri . Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi...
  7. JamiiForums Tanzania A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

    Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya ugonjwa wa ukimwi

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kuwa kutokana na madiliko ya kisera ya Nchi ya Marekani baada ya kuingia madarakaini Serikali mpya ya Rais Trump kuathiri Sekta ya Afya Serikali imefanya Tathimini ya kina ambapo wamepata majibu kuwa Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
  10. JamiiForums Tanzania Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka jana niliponea chupuchupu kuupata Ukimwi, ila mwaka huu nimeangukia kwa Penzi la Mshangazi, nifanyaje kuoa

    Wadau, Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya.. ... Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi Kumi Zinazoongoza kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Barani Afrika

    Wadau Leo tupate mawili matatu kutoka kwenye huu uzi: Pale Kinondoni kwa Mama Ntilie, jua kali linawasha kama pasi ya mchina. Kwenye meza ya mbao iliyozungukwa na viti vya plastiki vimepoteza rangi, jamaa mmoja anaitwa Shomari alikuwa anapiga stori kali na washikaji wake Bonge, Mimi, na Mzee...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Ni Kweli au si kweli Unaweza "Kula" Mwenye UKIMWI Usiambukizwe?

    Uchambuzi wa Kisayansi wa Kauli Kuhusu Maambukizi ya VVU/UKIMWI Makala hii inachunguza kauli inayosema: "Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu." Katika uchambuzi huu, tutatumia maarifa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ninatokwa na vipele vingi usoni na kwenye ulimi, inaweza kuwa ugonjwa Nini?

    Anaomba Ushauri ". Mambo vipi ndugu zangu mimi nikijana wamiaka 30 ila nimetembea na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Tangia nitembee nae ishapita miezi miwili lakini naona mabadiliko kwenye Mwili wangu naona ulimi wangu...
  15. JamiiForums Tanzania Safari yangu CTC

    Kwa msiojua CTC ni kituo cha kuchukulia dawa za kudhibiti virusi vya HIV (UKIMWI). Anayechukua dawa hizo anaweza kuwa ni mtumiaji wa muda mrefu au yeyote yule anayejiona ameingia kwenye hali hatarishi ya kupata maambukizi. Sasa juzikati harakati za maisha zilinifikisha kwenye moja kati ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI yaipongeza Barrick Bulyanhulu kuzingatia kanuni za afya

    Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa. Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick Bulyanhulu. Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita. Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Victor...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukimwi bado upo, Vijana wenzangu acheni kutembelea Rim

    Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni VVU, mtoto pekee wa kiume wa mzee UKIMWI

    HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI) VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema; "Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

    Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa. Je, kwanini mnamlaani Trump?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…