ukimwi

  1. didy muhenga

    Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

    Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
  2. sam green

    Nahisi kuambukizwa UKIMWI na mwenza wangu

    Habari Ma doctor Wa JF Stori ni ndefu nifupishe kiasi Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku inayofata ikajirudia nikaenda faragha kujitazama kwa uamkin nikakuta kichwa cha uume kimezungukwa na...
  3. Tundusami

    Mwanamke anayetafuta mwanaume mtandoni wengi wa athirika wa ukimwi, umri umeenda au single maza

    Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya 30 hana changamoto ya feza na hana ukimwi akatafuta mwanaume mtandaoni
  4. Zee la madawa

    Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

    Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na...
  5. Z

    Elimu juu ya ugonjwa wa UKIMWI haitolewi ipasavyo mashuleni

    Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi. Tunaomba wizara husika Tamisemi na walimu wote watoe elimu kwa kina kwa wanafunzi juu ya maambukizi na...
  6. M

    Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  7. tpaul

    Wabunge na wake za watawala waachie posho na mafao ya UKIMWI na NHIF

    Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
  8. Fbn

    Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  9. Yoyo Zhou

    China yasaidia Afrika kukabiliana na tishio la UKIMWI

    Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto. Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
  10. Think2

    Ifahamu mikoa yenye ushamiri mkubwa wa maambukizi ya VVU Tanzania 2025

    Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi. Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo. Dkt. Sumba amesema hayo katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Desemba Mosi 2025, siku ambayo pia ni Siku...
  11. wa stendi

    Kama ugonjwa wa UKIMWI unapatikana kwa kujamiiana. Mtu wa kwanza kuupata aliupataje?

    Kuna vitu vinafikirisha sana . Yaani kama ugonjwa wa ukimwi uligundulika kwa kujaamiana je !mtu wa kwanza kuupata/aliupataje?
  12. Wagumu Tunadumu

    Ni kwanini UKIMWI una nyota ya kupata hela?

    UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
  13. Dalton elijah

    KWELI Baadhi ya Dawa za UKIMWI (ARV) hutumika Kufubuza Ugonjwa wa Homa ya Ini

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Facebook likielekeza Kuwa Dawa Ya Kufubuza Ukimwi ARV Inaweza Tumika Kutibu Ugonjwa Wa Homa ya Ini.Jamii check je Ukweli wa Hoja Hizo ni zipi. Mfano Wa Chapisho Hilo Ni kama Unavyo onekana... Sio kila anae tumia (ARV) Ni Muhathirika wa virus vya Ukimwi...
  14. Clayton Paul

    Bora UKIMWI kuliko Siasa

    Bora Ukimwi sio siasa inavyo ondoka na wengi
  15. OLS

    Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  16. Saad30

    Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

    Habari wakuu. Kuna wakati flani nilikuwa naona nyuzi ya UKIMWI Sana hapa jukwaani asee ilikuwa inanikata Sana sababu najua nilikuwa nauza mechi Hadi nikapewa ugomjwa WA gono na demu mmoja hivi video Queen ilikuwa (2023) kiufupi nakula bila kondom sababu nikitumia kondom nachelewa kumwaga...
  17. tonicimmobility

    Wanangu wa TMK, dawa za VVU zimerejeshwa bure

    Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini. Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu
  18. ANOLD MEDIA

    SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  19. R

    Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu, atahadharisha jamii kuhusu ngono zembe na kuendelea kujikinga na UKIMWI

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’ Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
  20. Nipe Maji

    GE2025 Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, UKIMWI na Malaria nchini

    Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, UKIMWI na malaria nchini. Hayo...
Back
Top Bottom