Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,600
- 6,476
Ukiwa bado unaishi Duniani usikufuru kwa kufurahia matatizo ya wengine maana yaliyo mbele yako hauyajui , bado haujamaliza safari ya maisha.
Maisha yamenipa hekima ya kunyamaza maana nimeshuhudia kuna watu wamekuwa kama wale waliowacheka na wengine katika hali mbaya zaidi.
Maisha yamenipa hekima ya kunyamaza maana nimeshuhudia kuna watu wamekuwa kama wale waliowacheka na wengine katika hali mbaya zaidi.