Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,220
- 10,810
Asallalleh...................
Wakuu mimi ilikuwa Ijumaa baada ya kutoka kazini ikabidi niende nikajipoze na bia 2&3 hivi sasa cha ajabu hapa mtaani kaunta ipo kwa nje. Sasa bana si akapita boss wangu wapo na jamaa tunafanya naye kazi hapo ofisini halafu anakuwaga snitch kinoma yaani. Alivyo mnafiki huyo jamaa kanipungia mkono ila boss hakuniona nikajikausha kama siwaoni.
Kesho naenda kazini habari zimezagaa kinoma kila mtu anasema aisee dunia imeisha kumbe hadi wewe Baba mtakatifu unabonda na kunyonga nikawajibu ndiyo kwani kuna ubaya. Niwaambie tu wadau hakuna watu wanafiki kama hawa wanywa soda na juisi ila sisi wapiga gambe hatuna mambo mengi. min -me Njoo tunywe baba yangu mdogo