ukahaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

    Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT. Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
  2. JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Serikali Inachochea Biashara ya Ukahaba kwenye Treni za SGR

    Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba. Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside. Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ihalalishwe ili tuwanusuru wadangaji (makahaba) wanaoongezeka kwa kasi na kupanua wigo wa kodi

    Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao. Laiti kama makahaba wangetambuliwa na wakajengewa mazingira mazuri ya kufanyia biashara yao na wakatozwa Kodi...
  5. JamiiForums Tanzania Julius Malema anataka ukahaba uhalalishwe

    Kiongozi wa EFF Julius Malema ameitaka serikali kuharamisha ukahaba. Akizungumza na wafuasi wa chama katika maandamano ya Siku ya Wanawake huko Mpumalanga, Malema alisema wafanyabiashara ya ngono wanastahili kupata ulinzi na vyombo vya sheria, ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kufungua kesi...
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

    Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae.. Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
  7. JamiiForums Tanzania Asili ya ukahaba na lugha ya Ibo katika ghuba ya Benin

    Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika Jiji la Bini, mji mkuu wa Dola ya Benin. Hali hii ilitokana na ukweli kwamba biashara ya mwili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TikTok imekuwa chimbo jipya la kueneza uzinzi, ushoga ukahaba na uasherati ulipitiliza

    Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa...
  9. JamiiForums Tanzania Agencies za ukahaba zili ripoti ongezeko la kihistoria la uhitaj wa huduma zao pale viongozi na wanasiasa 3000+ walivyokutana kwenye mkutano wa DAVOS.

    Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba. Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini. Naona wana deal kweli...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na ukubwa wa biashara ya ukahaba Tiktok, kweli siku hizi haina haja kujipanga Riverside

    Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
  12. JamiiForums Tanzania Makundi ya mkuu wa mkoa au wilaya kujikita katika kupambana na ukahaba.

    Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo. 1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kupunguza single mother na ukahaba

    Kumetokea sasaiv wimbi la vijana wasiotaka kuoa lakini wana vipato vizuri, wengi wao wanasingizia kuwa bado hawajajipanga, lakini hao hao ndio wanaongoza kufanya uasherati wamekuwa wanawapa wasichana mimba na kuzikataa hizo mimba, lakini pia hata wasipozitoa unakuta wanawakataa hao wanawake...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanaotetea makahaba, wataanza kutetea na mashoga kwa kigezo cha faragha, tuwapinge kwa nguvu zote

    Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia...
  15. JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tulizoea biashara ya ukahaba kufanyika baa lakini sehemu nyingine hatari zaidi ni kwenye saluni

    Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto hawalelewi vema mama zao wanawahi kudanga. Je hakuna namna serikali ikakomesha jambo hili?
  18. JamiiForums Tanzania Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

    Episode 1: Introduction. Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa wasomaji. Hivi ni visa vinavyotokana na matukio ya ukweli kwa kiwango kikubwa. Tutatiriririka navyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mameya, ma-OCD na ma-RPC: Kwa kuwa ukahaba sio kosa la jinai, basi misako ya makahaba ikomeshwe mara moja

    Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania I. Utangulizi Mheshimiwa Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania, Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya Razak Azan, Mlinzi wa Baa ya Boardroom huko Sinza, Wilayani Kinondoni, sio sawa na tukio la mgonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…