ukahaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  2. yuda75

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  3. Amina68

    JamiiForums Tanzania SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Neno 'kudanga' linatumika kuhalalisha ukahaba, ni kujiuza tu tusichekelee huku jamii ikiharibikiwa

    Ndugu zangu! Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu. Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi. Lakini...
  5. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wilaya za Dar zinazoongoza kwa Ukahaba

    Kwanza kabisa nikianza na. 1: TEMEKE-malaya wa hii wilaya kifup hawana akili hata kwa mihogo ya jero anaeza vua chup** wapo ambao hawana akili wao wako cheap hata kwa buku mbili wao ni kiguru juu ila sio wasafi kivileee 2: KINONDONI-hawa wengi wao ni wanachuo wanajikuta ni expensive sana...
Back
Top Bottom