Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Tayari walikuwa na ujuzi maalum
Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
Tayari walikuwa na connections nzito za...
Hapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri...
Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya “kuwapatia nyavu na kuwafundisha uvuvi badala ya kuwapa samaki”, warsha za Luban zimejitahidi kuendeleza...
Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...
Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo.
Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au,
Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management
Naonngea kiingereza vizuri sana
Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
Kenya imeidhinisha rasmi kuanza kutekeleza mfumo wa Recognition of Prior Learning - RPL mfumo ambao unatambua ujuzi wa vitendo na stadi za kazi zilizopatikana nje ya elimu ya darasani na kuutoa kama njia halali ya kupata vyeti na kujiendeleza kielimu.
Hatua hii imeibua mjadala mpana ukanda wa...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
Wakuu,
Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini...
"Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills"
...Huu Ujuzi Huwa Napenda Kuuita Triplet PACKAGE Skills...
Wazazi wengi wamekuwa na maono mafupi kwa kuwa wagumu kurudi nyuma kuiona picha kamili ya maisha ya watoto wao.
Wazazi wanahangaiko mtoto ajue kutafuta thamani ya X, kujua log 10 = 1, kukariri definitions, n.k.
Elimu yetu kwa hayo yote bado inamuandaa mtoto abanwe kutumia alichojifunza kwa...
Mafundi ujenzi wanahitaji kuwa na ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na mbinu za ubunifu za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu taaluma yao inahusiana moja kwa moja na usalama wa majengo, madaraja na mifumo mikubwa ya jamii.
Elimu ya darasani pekee haitoshi; mafundi wanapaswa kujua kutumia vifaa...
Tution au twisheni wakati wa likizo ni kuwapandikizia hofu za maisha watoto.
Watoto wa shule ya Msingi na sekondari wanatakiwa kutumia muda huo kujifunza vitu vipya ambavyo vitawasaidia maishani na Sio kujihami KWA kusoma twisheni ya mambo ya DARASA linalofuata.
Wanaweza kujifunza
Coding for...
Habari wana jamvi
Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara
Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na elfu 5 ni aibu, kumbe ndiyo daraja lako la kwanza kwenda kwenye uhuru wa kifedha.
Biashara...
Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea moja kwa moja chama hiko.
Japo kikatiba alibaki kua mwanachama na mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.