ujumbe

  1. J

    Namba 40 Imebeba Ujumbe Mzito wa Kihistoria

    Namba 40 Imebeba Ujumbe Mzito wa Kihistoria Katika Biblia namba 40 ni alama yenye kumaanisha kipindi cha wakati mgumu. Ni wakati wa maumivu, kukata tamaa ya maisha, masumbufu na changamoto mbalimbali na maisha ulimwenguni. Kwa mfano: wakati wa Nabii Nuhu mvua ilinyesha kwa siku 40. Haukuwa...
  2. Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  3. Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  4. R

    Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole. Namba hizi...
  5. Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

    Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo. Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
  6. PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

    Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
  7. S

    Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  8. Kipanya: Wataalam wa Decryption tusomeeni ujumbe

  9. Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025

    Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
  10. Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  11. M

    Ujumbe kwa wanasiasa wanaoftarisha

    Tuusikilize kwa makini
  12. Kwa ambaye hatamuelewa hapa Mchambuzi Oscar Oscar kwa huu Ujumbe wake Murua na wa Ukweli kabisa basi akapimwe Akili Mirembe haraka sana

    "Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar. Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
  13. Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  14. U

    SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  15. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  16. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  17. Ujumbe maalumu toka mimbari za ijumaa

    Huu ni Uzi maalumu kwa waislamu katika siku za ijumaa kupeana taarifa umeswali ijumaa msikiti gani, khatibu wa ijumaa alikuwa sheikh au Ustaadh gani na mada ya khutba ya ijumaa ilizungumzia nini. Kwa kuanzia , Leo mimi nimeswali swala ya ijumaa katika msikiti wa Abuu Dharri Jundub bin Junada...
  18. Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

    Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
  19. Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  20. Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

    Habari zenu walipa kodi wenzangu. Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa. "To you the love of my life" You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine? Nimjibu nini asa hapa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…